Watu wengi wanateseka na mapenzi sababu Hawataki kuukubali ukweli, Yaani unakuta kabisa unajua hapa hakuna ndoa ila Unajifariji kwakua tu Una-Enjoy.