KUJIPATA SIO RAHISI!! Nimekuwa nikijitafuta kwa zaidi ya miaka 10 na bado sijajipata, Hii safari haijakuwa rahisi kabisa na sijawahi kuikatia tamaa