Kuna watu wakikuona uko Gizani wanakukimbia, Ila wakianza kuona Mwangaza unarudi na wao Wanataka kurudi, Wasamehe tu ila Usiwaamini Tena.