Deograsius Andrew🇹🇿
BA in Economics(UDSM) | Economic& Political Analyist| I Undisputed thinker | Digital analyst | Nyeupe ni Nyeupe ⚪ Nyeusi ni Nyeusi⚫.| ⓝⓔⓥⓔⓡ ⓢⓣⓞⓟ ⓣⓗⓘⓝⓚⓘⓝⓖ
View on 𝕏Threads
Ukiona mtu anakushirikisha fursa fulani na anaipamba kwa faida lukuki na kukuonyesha baadhi ya watu waliofanikiwa nayo. 🤔 na katika mazungumzo yake hagusii kabisa changamoto za fur...
Binadamu tumeumbiwa macho ambayo yanatazama watu na vitu vingine.! Kama si kioo ama Picha mnato ni vigumu kujitazama.! Hivyo hatuna budi kukubaliana na watu ambao wanakosoa yale t...
Umebarikiwa kuwa na nafasi mahali, Cheo, kipato kikubwa, fursa au ujuzi fulani usiishie tu kutoa ushauri.! Kunjua nafsi yako saidia wengine.! Amani, Furaha na vyote ulivyonavyo v...
Niamini Mimi.! Hakuna kitakachowapata waliokataa kukusaidia nasisitiza hakitowapata chochote kibaya.! Maisha yako ni jukumu lako mwenyewe endelea kuyapambania usiwalaumu watu.! H...
Si kila mbegu inayopandwa ardhini humea. Nyingine hufunikwa na dongo zito huoza. Jitahidi kupunguza matarajio kwenye kila kitu unachokifanya itakusaidia kukabiliana na mshituko ik...
Moja ya kitu rahisi zaidi duniani ni watu kusahau jambo jema ambalo mtu amewahi kufanya.! Unapofanya jema fanya kwa moyo wala usitegemee watu kuimba jina lako sasa. Usiyumbishwe...
Kuna muda huwa tunajitahidi kuishi Maisha ya kufurahisha watu na kuwaonyesha kuwa tumefanikiwa ila kinachotuumbua ni matatizo yetu kwani tunasahau kuwa umasikini hauwezi kufichwa n...
Duniani mafanikio yako ni yetu sote ila matatizo ni yako mwenyewe.! #NeverStopThinking
MAKOSA 10 AMBAYO VIJANA WENGI HUYAFANYA NA JINSI YANAVYOWAGHARIMU.! UZI.! Baada ya ukimya mrefu leo turudi kwenye uchambuzi wa kimaisha na nimekuletea mada muhimu kweli kweli ha...
Imani yetu ni kubwa kiasi kwamba kuna wakati tunakua hatuna hata senti ila tunaamini tutakula na siku itapita na Mungu hajawahi tuacha ndio maana tu hai hata leo. #WeNeverStopPra...
"Haja za mwili utazipata bure ila kuzitimiza lazima upambane.!" Maisha 3:12
Wakati mwingine tunajifunza zaidi kwa walio feli ili tusije rudia makosa kama yao tukafeli pia. Hivyo usifadhaike wala usijisikie aibu unaposhindwa jambo fulani jione shujaa kwani...