Threads
TUMIA REMOTE CIU YA JIRANI YAKO KUWEKA UMEME. kuna wakati unakuta kifaa chako cha kuingizia umeme yaani ile remote ya mkononi (CIU) imepasuka au imegoma kabisa kupokea token hata...
NAMNA YA KUTATUA CHANGAMOTO ZA METER ZA UMEME HASA KWA CIU (REMOTE) Leo ngoja tuone namna ya kutatua changamoto ya Meter zinaonza na 54, zinazoanza na 37 pamoja na zinazoanza na 4...
KWANINI UMEME UWAGOMBANISHE WAKATI SUB METER ZIPO Sub meter imekuja kuwa suluhisho kwa kutenganisha watumiaje wa Umeme 1. Frame za biashara 2. Nyumba za kupanga 3. Ofisi etc Hap...
TUMIA CIU YA JIRANI YAKO IKIWA UMEKWAMA KABAISA KUWEKA UMEME Kwa wale wanao tumia meter na Customer Interface Unit aina ya inhemeter ukitaka Kushare na Jirani yako basi chukua rem...
Umenunua umeme na umepata token lakini meter yako haizipokei token?? Leo Ngoja tujaribu kosolve Meter serial Number zinazoanza na 24, 37, 43. Mara nyingi matatizo haya hutokea kw...