Shepherd
@Eldermabula
Husband || Church Elder || Preacher || Peasant - Farmer Movement || Father Comfort Ministry
View on π5
Threads
0
views
1.4K
Followers
421
Tweets
Threads
Wanangu wa kiume, kumsindikiza mwanamke na macho, kugeuka kurudia kumuangalia mwanamke akienda, sio ulijali. Ni jambo dogo ambalo usipojizuia linaweza kukushushia heshima katika ja...
Tendo la ndoa ni tendo la Kiroho. Unauamuzi wa kuamua kulifanya kwa upande upi, Mungu au Ibilisi. Na kila upande una matokeo yake chanya au hasi respectively.
Dhambi mbaya ni ile uliyozoea kuitenda sirini na ukiona wengine wanaitenda hadharani unakuwa wa kwanza kuwahukumu.