Haki Ngowi
๐ Official X(Twitter) Page Of Haki Ngowi ยฎ ๐ป๐ฑ Post(Tweets) From Haki Ngowi are signed hn+
View on ๐Threads
"Jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi kuhusu askari polisi anayetuhumiwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja ikiwemo kufanyiwa kipimo kujiridhisha kama anafanya kitendo hicho...
Wizara ya Maji kupitia Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mbeya (Mbeya-UWSSA) imesaini mkataba wenye thamani ya shilingi Bilioni 117.5 na mkandarasi kampuni ya China Railway...
๐Dar es Salaam ๐น๐ฟ๐น๐ณ Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amesaini kitabu cha maombolezo Ubalozi wa Uturuki Jijini Dar es Sala...
Spika wa Bunge Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo Bungeni Jijini Dodoma amefuta katika kumbukumbu rasmi za Bunge (Hansard) kauli iliyotolewa na Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba kuhusu...
๐Arusha Naibu Waziri,Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deogratius Ndejembi akifungua Kikao Kazi cha 3 cha Serikali Mtandao kinachofanyika katika ukum...
๐IKULU,Zanzibar ๐น๐ฟ๐จ๐ณ ๐จ๐ผโโ๏ธ๐ฉ๐ปโโ๏ธ๐ง๐ปโโ๏ธ Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema ujio wa madaktari bingwa kutoka China ni fursa adhimu kuimarisha sekta ya Afya Zanzibar. ๐น:...
๐Dodoma Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari,Mhandisi Kundo Matthew akikabidhi vyeti vya ushindi pamoja na zawadi kwa wanafunzi 4 walioibuka kidedea kwenye...
๐Dodoma Ili kuwezesha upatikanaji wa huduma za ukadiriaji kodi kwa wakati serikali imeagiza Ofisi zote za ardhi nchini kutoa huduma siku zote za juma hadi mwisho wa mwezi aprili....
๐Dar es Salaam ๐ฅ๐ฉ๐พโโ๏ธ๐จ๐ฝโโ๏ธ Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Kituo cha Huduma za Upandikizaji Mimba Kairuki Green IVF, Bunju...
๐Dar es Salaam ๐ข:TCRA HQ Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA)Dkt.Jabiri Bakari akitoa wasilisho kuhusu majukumu ya utendaji wa TCRA,idara na vitengo vyake kwa...
MJUMBE wa Kamati Kuu ya CCM)l Taifa, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea kuwatumikia w...
Waganga wafawidhi wa vituo vya kutolea huduma za afya nchini wamehimizwa kufanya usimamizi wa afya shirikishi (Cascade Supervision) kwa zahanati zinazowazunguka ili kuziongezea n...