Martin Maranja Masese
MMM | Full-time Father | Public-spirited | Sperm That Won The Race, ME | Think Deep Donโt sink | Cogito, ergo sum |
View on ๐Threads
Ukisimangwa kwa umaskini wako inakera sana. Ukisimangwa kuwa una hela na kweli unazo, haikeri hata kidogo. Pesa ni muhimu iwepo, pesa sabuni ya roho. Umaskini pays no bills. Umaski...
. @naythetrueboy ft. Raydiance - Nitasema Verse mbili hazitoshi kabisa Emmanuel, tungepata hata verse nane hivi kwenye hii hotuba kwa Taifa. Anyways, mpo wachache sana wasanii wen...
Wengine wanaanza asubuhi mpaka saa 12 ya jioni, wengine tunaanza usiku, mpaka asubuhi, mpaka usikuโฆ mpaka usiku, usiku wa manane https://t.co/gadOpxgeYF
Seneta wa Kaunti ya Nairobi, @edwinsifuna Bungeni Kenya anasimulia jinsi Mzee Ali Mohammed Kibao alivyotekwa ndani ya basi la abiria Dar es Salaam na mitutu ya bunduki na anasema #...
Legendary Seleman Bungara (Bwege). ๐ https://t.co/6xlvrFknNX
Aisee.. SLAA wa CHADEMA? ๐ญ https://t.co/YjrVFRDgPB
VIKOSI KAZI VYA UTEKAJI LIBERIA 1990; TANZANIA YETU YA SASA? Charles Ghanky Taylor na Charles McArthur Emmanuel Taylor, ni baba na mwana. Wamehusika katika vita ya Sierra Leone na...
Vyombo vya habari vya IPP vimepatwa na nini? Joyce Mhavile, CEO wa @ITVTANZANIA ameharibika namna hii? Kilichoandikwa katika kichwa cha habari ni tofauti na alichokisema Katibu Mku...
https://t.co/GGVRrbJtMP
Pasta KINYAMBE fyuzi zimeharibika. https://t.co/EFBsIDzNix
Kuipata furaha ya maisha yako kila siku iendayo kwa Mungu siyo kazi rahisi, Lakini inabidi tuendelee kumuomba na kumshukuru Mungu wetu, mwingi wa rehema ili kuendelea kutupa furaha...
Kama hatuwezi kupambana na nyuki tu, tumejifungia ndani ya gari tunarekodi, tunaweza kupambana na watekaji wenye bunduki? Tunaweza kupiga na kulinda kura? Nimesikitika sana. Huyo m...