Maria Sarungi Tsehai

Maria Sarungi Tsehai

@MariaSTsehai

Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,

t.co Joined Nov 2024
12
Threads
0
views
1.3M
Followers
745.9K
tweets

Threads

Hii imenisikitisha! Watanzania wanaamini hawataokolewa wakionekana kuisema serikali! 😭 This is the level we have sunk! Keep the Fatih our brethren na Mungu awasimamie mtoke salama...

🔥 TOYI TOYI MUHIMU🔥 Kesho lazima kuwepo kwa vijana mchangamshaji wa toyi-toyi Kina mama wameshapata wimbo wao Vijana adapt this kwa wale wa mchakamchaka Sauzi waliwatoa makaburu n...

‼️ ASSAULT BY PUBLIC SERVANT‼️ A video gone viral and doing rounds of reportedly a young female who applied for the position of clinical officer and was clearly assaulted by a male...

Kiko wapi? 🤣🤣 Ila mi ndo maana nilisema #TutaelewanaTu Kinana alienda @ACTwazalendo akaongea maneno matamu ila alikiri sisi tuliokuwa na mashaka na DHAMIRA ya @SuluhuSamia tulikuw...

‼️🚨PRESIDENTIAL APPOINTEE EXPLAINS EVIL RIGGING PLAN IN UPCOMING ELECTIONS‼️🚨 #Tanzania This is Longido District Commissioner Marco Ng’umbi telling councillors (all CCM who “pas...

🙄 HOW UNPRESIDENTIAL ❌ Maendeleo yenu ipi, ya Zanzibar huko Kizimkazi siyo? So unatunanga watanganyika kuwa sisi ni mbwa wapumbavu tunabwekea maendeleo yenu? Hewala 🙏🏽 Ila #Tuta...

Venezuela 🔥 kumekucha! Chekini umati wa wananchi waliojitokeza kuwasindikiza upinzani baada ya kuamua kujitangaza washindi wa kweli wa uchaguzi na kuachana na matokeo ya kuchakach...

🤣TUCHEKE KIDOGO 🤣 Majirani 🇰🇪 wanacheza kombolela na teargas canister 🤣 Yaani kuna mtu miongoni mwa waandamaji anakuwa na zamu ya kurudisha mtungi wa vitoa machozi - anaitwa retur...

‼️👋🏽 Eleweni kuwa hatuwezi kuishi kwa matumaini huku watawala wakiendelea kupora maliasili 👉🏽 Kitendo cha serikali kupeleka muswada June 28 ya kubadili sheria ili ziendane na mkata...

‼️PAKUA HAPA‼️ Muswada wa mabadiliko ya sheria yanayohusiana na mkataba wa DP World iko hapo Telegram channel ya #WenyeNchiWananchi 👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾 https://t.co/2Mq3ZLEupS https://t....

🚨 #Tanzania Port of Dar - TPA and @WorldBank - link to DPW agreement 1. Nawarudisha mwaka 2017/18 Benki ya Dunia ilikubali na kuingia mkataba wa mkopo wa maendeleo na serikali w...

Ifike mahali TUWASUSE hawa maharamia wanaouza nchi! Yaani ni kwamba tunawasusa online and physically! Watanganyika tuache woga! Tuweke azimio kila aliyesimama kutetea mkataba wa D...