Rapha | Mr Think In USD$๐ฐ
My mission is to help You make your first $$ online with less hustle with the help of Copywriting, Closing skills, and Outreach. Over 200+ people helped. ๐ ๐
View on ๐Threads
Kuna kitu cha Msingi Sana Kwako na Mpenzi wako, Jengeni Upendo na UsiriโShetani Atawamaliza.๐ซข -Mtu uliyevua nguo na kufanya nae mapenzi, hautakiwi kumsema vibaya wala kumtangaza....
Mafanikio Hayana Kanuni MojaโKati ya Mtu na Mtu.๐คญ Kwa muda mrefu nimekuwa nikiona kauli hii "Waliofanikiwa hawasemi njia walizotumia". Usihuzunike sana Ni kweli hawasemi, Ila nik...
Miaka ya 1980s Kampuni ya Redbull ilingia sokoni. Ila biashara haikuwa nzuri kama Bilionea Dietrich na mwenzake Chaleo walivyotegemea. Lakini kwa mbinu hii ya ajabu na kipekee wa...
Kuna Vitu vinatutesa AFRICA Tusipokuwa makini tutaumia vizazi mpaka vizazi: 1. Tunaichukulia elimu (Diploma/Degree+) kama kitega uchumi (Kupata Ajira)โWasomi wengi hawajaelimika....
Jinsi ya Kuomba Kazi/Ajira Kijanja na Ujitofautishe na WengineโUtafanikiwa 90%+โ Kuna hatua tatu (03) kuu katika kuomba kazi: 1)Foot in the Door (Kupata nafasi ya kuingia) 2)Nail...
Someone: *Rapha I want to make money ila sina mtaji.* Me: Okay relax young man. Fanya hivi: 1)Nenda YouTube search *How to run fb Ads* filter video za mwaka huu. 2) Na pia *How to...
NIMEGUNDUA: Njia Rahisi ya Kupata Connection Hapa Twitter Kabla ya Mtu Yoyote. Hasa hasa kwa GRADUATE hii sio ya kukosa, fursa za ajira nje nje. -A Thread ๐๐ฟ
๐ ๐ฎ๐ณ๐๐ป๐๐ผ ๐ฌ๐ฎ ๐๐๐ฟ๐ฒโ ๐๐ถ๐ป๐๐ถ ๐ฌ๐ฎ ๐๐๐๐๐บ๐ถ๐ฎ ๐ฆ๐ถ๐บ๐/๐๐ผ๐บ๐ฝ๐๐๐๐ฎ ๐๐๐ผ๐ป๐ด๐ฒ๐๐ฎ ๐๐ถ๐ฝ๐ฎ๐๐ผ ๐๐ต๐ฎ๐ธ๐ผ (๐ฑ๐ฌ๐ธ-๐ญ๐ฌ๐ฌ๐ธ) ๐ก๐ฑ๐ฎ๐ป๐ถ ๐ฌ๐ฎ ๐ฆ๐ถ๐ธ๐ ๐ฏ๐ฌ Tumia fursa za Internet [THREAD] ๐Inspired by @GillsaInt @NyandaAmosi @mafole...