Threads
Lidya wa BSS, Ambaye Clip zake za mitandao zinatreand now, Akifanya Remix ya nyimbo tofauti, Mbosso kaomba mawasiliano nae ili afanye nae kazi... Angalia alichoandika... Scr...
Umeisikiliza Olodumare Ya Joel Lwaga ikipigwa Live?π Yooooo!! Respect to BSS kwa kutusukia hiki kipaji aisee!! BSS ya Madam Ritha Pausen ilindwee π Msikilize akiipiga... Vide...
Mwamba kutaka Tanzania, Kajitingia zake Crefisa, Kaenda ukumbini, Hana shida ππππ Video kwa Comments π https://t.co/amZW0Mns2h
Huawei wanakuja na Simu yao mpya ya Huawei Mate 70, Ambayo inatumia OS ya Harmony OS, ambayo ni Faster kushinda Android.. Jana wameonyesha Feature za simu hiyo ambapo itakuwezesh...
Wiki sasa, Tangu, Ajali ya Kuanguka Jengo Kariakoo na watu 20+ kupoteza maisha na wengine Kujeruhiwa.. Ila bado wafanyabiashara na wateja wa Kariakoo bado wana Hofu Zifuatazo ni...
Nilikuwa nimelala, Nikashtuka, usingizini, nije ni post hii ππππππ Heb msikilize hapa, Anasema P.didy alikuwa anafanyiwa Massage, Video kwa Commentsπ https://t.co/4k6Q9BCxGc
Tulisahau, Lukamba alienda na Diamond kwa P.Didy... Hii ndio story yake kipindi alivyoenda πππππππππ Nimecheka sana πππππ Video kwa Commentsπ https://t.co/3RxJaN2wJI
Media ya Familia πππ Haya mama Dangote... Tuambie, kwa nini Umetupa Chupa ya maji... Mama dangote akawa na Haya ya Kusema.... Msikilize.... Video kwa Commentsπ https://t.co/WV...
Standup Comedy π Imebadilishwa kuja kwenye REAL LIFE πππππ Oyaaa nime-enjoy... WACHAGA wana Tabia hii 100% Trust me ππππ Nimeipenda hii πππππππ Video kwa Commentsπ https://t...
Waandishi wa Habari wa EATV waliokamatwa... Waelezea yaliyowakuta msimbazi... Mwamba anasema alichapwa mkwala sana... Msikilize... Video kwa Commentsπ https://t.co/fwu3uQLz0P
Mtu na Mdogo wake, Walikuwa wakiitqka sana hii Interview ππππ Ila huyo mwamba wa Jezi nyeupe ππππ Kanichekesana πππ Msikilize... Video kwa Commentsπ https://t.co/t42anbvQC2
Stater Album kutoka kwa Ali Kiba imetoka.... Kama, Tanesco walijua kuwa nitawasumbua majiraniii Wakakata umeme mapemaaaπππππ Sikiliza tracklist.... Video kwa Commentsπ https://...