Creative Vans πŸ’Ά

Creative Vans πŸ’Ά

@creative_vans

Hi there, I'm Evans and I help service business get qualified & ready-to-buy clients on auto-pilot. Send a DM πŸ‘‰ https://t.co/adKhmZj5FQ

t.co Joined Jan 2022
21
Threads
0
views
2.5K
Followers
2.9K
Tweets

Threads

Ukiwa unaanza graphics fanya hivi ili kumaster vitu ndani ya muda mfupi... 1. Ingia Pinterest, Tafuta design moja let's say Fashion Poster 2. Design Kwa kucopy na kupaste kila ki...

Wazungu wanasema "Don't Judge a Book by its Cover", Najua unaamini, Ila vipi nikikwambia kuwa huu ni UONGOπŸ‘‡ Ndio, Leo nimekuandikia Jinsi ya kutengeneza Profile Photo Kali Itayo...

Kama unapenda vitu vitamu basi hii ni Kwa ajili yako... Jinsi ya kudesign Poster Kali ya Burger Kwenye Simu Kwa Kutumia Canva πŸ‘‡ . . Tazama mpaka mwisho kujua mbinu nliyotumia kuwe...

Kama umekwama kupata idea za Logo tumia hii Mbinu ya Kijanja Kuokoa Muda.... Kwenye Mbinu hii utatumia AI (ChatGPT + Dall-E) + Design Brief + Shutterstock+ Ubongo wako kupata idea...

Graphic Designers... Kuna hii website inaitwa πŸ‘‰ https://t.co/Kx3aZfL0kR Inakupa kazi za kufikirika ambazo utazitumia kujaza portfolio yako au kupata experience.... Kuna kazi za l...

UTAFANYAJE? -Umepewa Logo Ina Background, Unatakiwa utoe background na ubadilishe rangi... Lakini hauna Kompyuta... UTAFANYAJE? Hii ilinitokea wiki iliyopita kwenye Maujanja Event...

Je ni kweli Ai itachukua kazi za graphic designers? Ilikuwa siku ya Jana kwenye Maujanja Community Event @j_kalebu akiwa anaelezea kuhusu Artificial Intelligence Jirani yangu ak...

Bila Kadi ya Mwaliko, Huwezi Kula Pilau na Kuku Kwenye Harusi ...πŸ—πŸ—πŸ˜‹ . HII HAPA!!...Jinsi ya Kutengeneza Flyer Nzuri Ya Mwaliko Wa Harusi Kwa Kutumia Canva Kwenye Simu au PC . . (...

MALIZIA..πŸ‘‰Sikukuu Bila Kuku Ni Sawa na...?? . . HII HAPA!! Jinsi ya Kudesign Poster Kali Ya KUKU Kwa Kutumia Canva Kwenye Simu au PC... . . {SHUKA NAYO} πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ https://t.co/bBcTY3G7R...

Je wajua?... Sio kila picha inapatikana kirahisi kwenye Canva?? . . HIZI HAPA.... Code 10 za Siri unazoweza kuzitumia kupata picha ambazo hazipatikani kirahisi... . . {TWENDE PAMOJ...

Mwamba Huyu Hapa... πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯... HAKIMI....!! . . Jinsi Ya Kutengeneza Poster Kali ya Hakimi Kwa Kutumia Canva Kwenye Simu Tu... . . ( SHUKA NAYO) πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ https://t.co/HXyJTSSHQ9

Hizi Hapa Aina 7 za Logo Ambazo Kila Graphic Designer Anatakiwa Azijue.... . Ep 22 . . Nimekuwekea na Mifano Yake Ikiwemo Ya Kampuni/Brand Maarufu Za Kitanzania.... . { SHUKA NAYO...