Dr. Mlaluko, MD
|MedicalDoctor|Author|Tutor|Poet|HealthJournalist|Father (Ammar&Raiyyan)|HealthEyeAdvocate|CommunityHealthVolunteer|SelfMotivated|Founder @jukwaalaafya|
View on ๐Threads
KUNA UMRI UTAFIKA Utagundua ulichelewa sana kuanzisha familia. Hasa kupata watoto. Sijawahi kuona anayejilaumu kuoa au kuolewa mapema. UNAPOTAFUTA PESA, USISAHAU UNAHITAJI MKE/M...
WAZAZI: TABIA ZA KUEPUKA UKIWA NA MTOTO MDOGO โข Kumtafunia chakula mtoto, โข Kumlisha chakula kwa kutumia kijiko ulichokitumia, โข Usimpatie maji hata maji mtoto chini ya miezi 6. W...
#FAHAMU: MADHARA YA KUBANDIKA 'CONTACT LENS' ZA UREMBO JICHONI Wadada wa kisasa wanapenda kubadili rangi na muonekano wa macho yao kwa kupachika 'lens' kwenye 'cornea' bila kujua...
#FAHAMU:NAMNA YA KUPIKA MBOGA ZA MAJANI ILI KUPATA VIRUTUBISHO KWA WINGI Watu wanakula mboga za majani kwa lengo la kupata kiburudisho na wengine kupata virutubisho. Wengi wanak...
#FAHAMU: NAMNA RAHISI YA KUMSAIDIA MTU ALIYEPALIWA NA CHAKULA/KINYWAJI #UZI๐ฅ https://t.co/vfKTnqEcal
#FAHAMU: ATHARI ZA UTOFAUTI WA KUNDI LA DAMU KATI YA MUME NA MKE. Kuna baadhi ya wanawake wanapoteza mimba zao na wengine kupoteza watoto wao baada ya kujifungua sababu ikiwa ni ut...