Threads
Kwani huu mwezi mbona haujaisha na acc zinasoma frequency za @CloudsMediaLive https://t.co/aYg6Qf5xIx
Elnel: Mustaki leo nikinywa natulia sitaki kucheza singeli na taarabu. Music: π΅ NAKUPENDA WEWE NA HUYO BWANA AKOπ΅ MUSTAKIππΎππΎπ https://t.co/dZy3IDsxKU
Me: Hii hali ya hewa sidhani kama watalewa leo Dakika 10: Mustaki, Elnel, Mwita, Batarino, na MtakiππΎππΎ, We fala ukwapi njoo huku hakuna mvua https://t.co/dsE5qQBg4L
Kibaya ni kwamba hatukujua tunatakiwa kufurahi ikiwa tu tumeamka salama. Lakini tumetambua kuwa bado tuna nafasi ya kumshukuru Muumba kwa uzima anaotupa.