LUSAJO
Grow your Company/Business Sales with Me | Increase your Market Outreach with Me | I'm the Founder & MD at @ebdigitaltec | JESUS IS MY LORD
View on 𝕏Threads
"Hebu angalia kati ya hiyo Corolla Spacio na Rav4 ipi itakufaa? Utakayoipenda chukua. Na ninatamani uchague gari ambayo haitakuwa liability kwako" Hayo ni maneno ya mteja wangu ak...
Changamoto kubwa inayokumba VIJANA ni UWEZO wa kutafsiri NYAKATI/MUDA walio nao Ni dhahiri kwamba vijana wengi tunaishi bila kuwa mambo haya:- 1. MAONO 2. VIPAUMBELE 3. MIPANGO U...
Kati ya Mwaka 2011 hadi 2021 kampuni ya Coca-cola ilikuja na Campaign yake ya "Share a Coke" Kampeni hii iliwaletea mafanikio makubwa sana katika Mauzo. Sasa leo, nataka nikupe S...
Richie akiwa anaenda kazini kabla ya kutoka home, anaacha BUKU 5 kwa ajili ya kodi ya meza.🤔 Na akifika kazini, Richie anatumia almost 10k kwenye Breakfast si chin ya 15k kwa lunc...
Huwa tunasema Biashara ni VITA. Ni kweli biashara ni vita. Sasa je, unajua ni Silaha gani unazotakiwa kuingia vitani? Njoo tujifunze kitu wapambanaji kwenye uzi huu mfupi, tujifun...
Siri kubwa ya kufanikiwa wafanyabiashara sio kuuza BIDHAA au HUDUMA. Bali kinachofanya biashara ifanye vizuri ni RISK TAKING katika biashara yako unayoifanya. Nataka tuchambue ki...
Sehemu ya Pili inaendelea hapa! Iko hivi; Kuna mambo ya msingi kuzingatia na kujua kabla ya kuagiza mzigo wowote. 1. Hakikisha Supplier/Mtoa huduma yuko Verified na details zake...
Ndugu zangu eeehh!! Hivi ukiwa unasafiri, ukapanda bus, na jirani yako bado hajafika kwenye bus, either akapandia vituo vya mbele au bado hajafika. Huwa unawaza nini kuhusu jir...
Watu wengi sana wanasuffer sana na kitu kinaitwa MADENI! Na kupelekea watu wengine kukata tamaa ya Kuishi wengine hawaoni future kabisa. Leo nashare NAMNA ninavyoweza kupambana na...
Siku chache zilizopita nilikuwa kwenye shughuli zangu za shamba. Nilipigiwa simu na mtu anahitaji COMPANY POLICY kwa uharaka sana. Ghafla nikakumbuka kisa changu cha kukosa TENDA...
Siku Moja katika mwezi wa 9 mwaka jana, nilipigiwa simu na kampuni fulani maeneo ya Mikocheni. Waliniomba nikafanye training ya team yao kwa Sababu MAUZO YAMEDUMAA na yanaelekea k...
Kuna mtu ana Unyonge sana baada ya kuona amefungua ofisi, tangu alipie Kodi mpaka Leo anaelekea kulipa Kodi nyingine anaona Hana faida aliyoingiza. Nataka nikuoneshe CHANGAMOTO am...