Siku ya tarehe 26/10/2007 , Emmanuel Didas alipata ajali mbaya akiwa anaendesha pikipiki maeneo ya Morocco,Karibu na Barabara ya Bagamoyo,Jijini Dar es salaam.
Baada ya vipimo vya X-ray,Madaktari wakabaini Emmanuel Didas amepata jeraha kwenye goti na kuna mifupa imevunjika. Emmanuel Didas akapangiwa tarehe ya kufanyiwa upasuaji wa goti.
Tarehe 01/11/2007, Emmanuel Didas akafanyiwa upasuaji wa kichwa badala ya goti na Emmanuel Mgaya akafanyiwa upasuaji wa goti badala ya kichwa.Hii ni kutokana na Uzembe wa wauguzi wa
MOI baada ya kuchanganya mafaili yaani faili la EMMANUEL DIDAS na la EMMANUEL MGAYA
MOI baada ya kuchanganya mafaili yaani faili la EMMANUEL DIDAS na la EMMANUEL MGAYA
Tarehe 02/11/2007,Ndugu wa EMMANUEL DIDAS wakaandika barua ya kuomba ripoti maalumu ya matibabu ya ndugu yao
Tarehe 05/11/2007 Ndugu wa EMMANUEL DIDAS wakajibiwa na MOI,Uongozi wa MOI Kwa maelekezo ya Baraza la wadhamini na hivyo watapewa ripoti kamili hivi karibuni baada ya
Tarehe 05/11/2007 Ndugu wa EMMANUEL DIDAS wakajibiwa na MOI,Uongozi wa MOI Kwa maelekezo ya Baraza la wadhamini na hivyo watapewa ripoti kamili hivi karibuni baada ya
upatikanaji wa taarifa muhimu.
Baada ya malalamiko mengi,Uongozi wa MOI ukaunda tume maalumu kwaajili ya uchunguzi wa suala la EMMANUEL DIDAS pamoja na EMMANUEL MGAYA.Ripoti ya uchunguzi ikakabidhiwa Kwa Waziri wa Afya,Ambapo EMMANUEL DIDAS alifanyiwa mahojiano.

Baada ya ripoti kukabidhiwa,Waziri akaona ripoti haina taarifa zinazojitosheleza na kuamua kuunda tume mpya huru ya uchunguzi ikiongozwa na Profesa WILLIAM MHALU kutoka hospitali ya Bugando,Jijini Mwanza.
Baada ya uchunguzi wa hii tume huru wakaja na majibu kua wataalamu(wafanyakazi) wa MOI kuna sehemu walifanya uzembe ili kukamilisha majukumu yao.
Tarehe 23/11/2007,Waziri wa afya akaitisha mkutano na waandishi wa habari kufuatia suala la EMMANUEL DIDAS na EMMANUEL MGAYA,Waziri akauhakikishia umma kua suala hilo linaangaliwa Kwa umakini zaidi na karibu zaidii,Na wahanga watapelekwa nchini India Kwa matibabu zaidi.
Baada ya matibabu nchini India katika hospitali ya INDRAPRASTHA APPOLOhali ya EMMANUEL DIDAS ili imarika lakini EMMANUEL MGAYA alifariki EMMANUEL DIDAS akarejea nchini na kubaki MOI Kwa uangalizi na maendeleo ya afya yake mpaka mwaka 2009 alipoachiwa.
EMMANUEL DIDAS AKAFUNGUA SHAURI MAHAKAMANI AKIDAI FIDIA,
Baada ya jaji MNUKE,kupitia Kwa umakini na kulichambua shauri alikuja na hoja kuu tatu,Ya kwanza ni kua mdaiwa ni kweli alifanya uzembe wa kitaaluma dhidi ya mdai!
Baada ya jaji MNUKE,kupitia Kwa umakini na kulichambua shauri alikuja na hoja kuu tatu,Ya kwanza ni kua mdaiwa ni kweli alifanya uzembe wa kitaaluma dhidi ya mdai!
Ya pili ni kua kama jibu ni ndio,mdai alipata madhara yoyote!
Ya tatu ni mdai anastahili nini?
Upande wa mdai(EMMANUEL DIDAS)uliwakilishwa na Wakili, CORNELIUS KARIWA pamoja na wakili FRANK KILLIAN
Na upande wa mdaiwa(MOI)uliwakilishwa na wakili wa serikali, BENSON HOSEA.

Ushahidi katika hoja ya kwanza,kutoka upande wa mdai na mdaiwa yaani(PW1-sisty marishay)na DW1(Aidan Omari Kipepe)Kwa pamoja ulionesha kua kulikua na uzembe wa kitaaluma (Professional negligence)ambapo ushahidi kutoka upande wa mdaiwa ulijitetea kua ni makosa ya kibinadamu
Katika hoja namba mbili,kua mdai alipata madhara yeyote kutokana na Uzembe wa kitaaluma uliofanywa na mdaiwa,ushahidi uliowasilishwa ulikua kutoka Kwa shahidi wa kwanza wa mdai(PW1),Kielelezo namba 4 na 5 pamoja na shahidi namba moja wa mdaiwa(DW1).
Zaidi Mahakama ilipata nafasi ya kumuona mhanga katika hali tofauti tofauti akiwa hawezi kuongea Kwa mfululizo Kwa sekunde thelathini,hawezi kukaa vizuri,hawezi kufanya kazi vizuri,hawezi kuhudumu mwili wake vizuri,amepooza upande mmoja n.k
Mpaka hapo mahakama haikua na shaka
Mpaka hapo mahakama haikua na shaka
yeyote kua mdai kapata madhara na anaumia sana.
Kabla ya kuendelea zaidi,Jaji akaona ni haki na muhimu sana kuelezea aina za stahiki zinazotokana na maumivu ya mwili.
Kabla ya kuendelea zaidi,Jaji akaona ni haki na muhimu sana kuelezea aina za stahiki zinazotokana na maumivu ya mwili.
Katika hoja namba tatu,kua mdai anastahili stahiki zipi! Jaji alikubali kuwa mdai alipoteza muda mwingi na kipato cha kutosha tangu augue Kwa uzembe wa mdaiwa(mdaawa),Mdai hakua na uwezo tena wa kufanya kazi kama awali,hawezi kupata furaha kama awali,
Yaani ilifika wakati mdai alikua akitongoza msichana anamcheka na kumuonea huruma na kumwambia kua anaonekana ni mgonjwa (Right of Consortium) Kwahyo mahakama (Jaji) akazingatia vyote na kusema hakuna stahiki inayoweza kukidhi na kumfanya arudi katika maisha yake ya awali
Na hivyo mahakama inamzawadia fidia ya Tsh milioni themanini na nane,laki tatu na elfu ishirini na tatu na mia tatu themanini (Tshs 88,323,380/=) kwaajili ya kuumwa na maumivu aliyoyapata.
Pia milioni moja na elfu sabini na sita,mia sita ishirini (Tshs 1,076,620/=)Kwa kukosa kipato Kwa miezi ishirini na moja(21 months),Na milioni kumi na laki sita (Tshs 10,600,000/=)Kwaajili ya gharama za msaidizi wa kazi za nyumbani.
Mwisho
Mwisho
Loading suggestions...