Ktk maisha yako yote hapa duniani epuka vitu vitano;
i) Madeni.
ii) Addiction.
iii) Jela.
iv) Siasa.
v) Ujinga.
In a Nutshell 🧵
i) Madeni.
ii) Addiction.
iii) Jela.
iv) Siasa.
v) Ujinga.
In a Nutshell 🧵
1. MADENI
Madeni yatakutumikisha kifedha, kimwili na kiakili.
Madeni ni njia rahisi ya kujichoresha ktk jamii
Madeni yatakunyima amani na furaha
Madeni yatakukimbizia watu wote wanaokupenda
Madeni ni utumwa na “Mkopaji ni mtumwa wa mkopeshaji” ~ Methali 22:7

2. ADDICTION
i. Pombe
ii. Wanawake
iii. Bangi
iv. Drugs (Sembe)
v. Porn
vi. Smartphone (social media)
vii. Cigar
viii. Gambling & Betting
-Huwezi kukwepa reality kwa kuudanganya ubongo wako
-Avoid cheap dopamine stimulants
-95% ya addicts niliokutana wananuka mdomo 😂

3. JELA
Ukizaliwa ktk jamii iliyostaarabika heshimu sana vitu vitatu;
i. Watu
ii. Sheria
iii. Mfumo
Jela utalishwa na kunywa bure, utavaa, utalala lkn huna chance ya ku-dream
Pita dunia kimya kimya, fanya mambo yako, kanyaga ardhi ya Mungu ila usikanyage miguu ya viumbe wake.

4. SIASA
Play political games, win political results
Misingi mikuu ya siasa ni UNAFIKI na USALITI
Personally hua naDefine siasa km Sanaa ya kubadili matatizo madogo kuwa makubwa zaidi
You want to solve problems not cause destructions
NB:Kuna utofauti kati ya Siasa na Uongozi

Loading suggestions...