SIR JEFF⚡🇹🇿
SIR JEFF⚡🇹🇿

@Sirjeff_D

11 Tweets 16 reads Oct 16, 2021
TOP 10 CRYPTO BY MARKET CAP
1. Bitcoin:
Cryptocurrency ya kwanza kwa ukubwa, umaarufu na most decentralized asset. Kwangu naiona kama DIGITAL GOLD in the Digital era,
Pia ina potential ya kuwa global currency kwa kutumia lightning network.
Kwa sasa naiona km Store of Value
2. Ethereum:
Crypto ya pili kwa ukubwa na umaarufu duniani. Ethereum wao wana mfumo unaowezesha watu wengine kutengeneza Application.
Mfn tu wa haraka ili uelewe Playstore ama App store ni platform ya kulist Apps zingine.
Ethereum ni platform ya kutengeneza smart contracts
3. Binance Coin
Kama leo una 231,000 unataka kununua dollar/euro utaenda either bank ama kwenye bureau exchange
Ukiwa na 231,000 unataka kununua cryptocurrency unaenda kwenye crypto exchange. Kwasasa crypto exchange kubwa na maarufu zaidi duniani ni @binance
4. Cardano
Hayo ni platform ya smart contracts kama ilivyo Ethereum. By the way Founder wa Cardano alikua pia mwanzilishi wa Ethereum.
Akaamua ajitoe ethereum ili aunde Cardano ambayo ambayo kwa sasa ni mpinzani hatari zaidi wa Ethereum. Esp kwenye swala la fees. Wako kitonga sn
5. Tether
Hii ni DIGITAL DOLLAR. Muda wote ina thamani ya $1 mpk mwisho wa maisha. Haipandi wala kushuka ndio maana inaitwa STABLE COIN
Miaka 10 kutoka leo ni guaranteed Tether 100 zitakuwa na thamani ya $100, ila Dollar 100 itashuka thamani probably hadi $70 ama $60
6. Ripple
Hii sasa ndio cryptocurrency ya Bankers... kazi yake kuwa ni kufanya settlements za kibenki, smoothly, efficiently na kwa kasi sana.
Mimi personally ktk top 10 coins hii ndio coin pekee nisiyoikubali... sijawahi kua na interest nayo kbs.
7. Solana
Solana nayo ni kama Ethereum na Cardano, ni mfumo wa kutengenezea smart contracts.
Technology ya Solana ya proof of work inafanya Ethereum na Cardano zionekane zipo slow, complicated na zina gharama
Ni blockchain tech lkn wana vidalili vya centralization😔
8. Polkadot
Ina tech yenye unyama sana, wametengeneza mechanism ya blockchains ziweze kuwasiliana na kubadilishana taarifa
Pia founder wake alikua mwanzilishi wa Ethereum, kama mwanzilishi wa Cardano, nae akachomoka ethereum.
Ktk top 10 hkn crypto ina unyama wa tech km Polkadot
9. USD Coin
Nayo ipo 99.9% kama Tether... I think Tether inaizidi USDC kwa ukongwe tu kwenye game.
10. Dogecoin
Moja ya coin inayopendwa sana sana na watu wengi lkn pia inachukiwa sana na crypto enthusiasts wengi.
Lkn ni ambayo Elon Musk anaipigia sana chapuo na mimi naamini kwa fundamentals zake Doge itakuwa Coin of the internet
Ni coin ambayo personally nimeInvest sn.
Tumepata bahati ya kuwa ktk kizazi ambacho tunashuhudia mabadiliko makubwa zaidi ktk mfumo wa kifedha (financial system) wa kimataifa.
Dunia inahama kutoka kwenye mfumo wa kienyeji kuja kwenye mfumo wa kisasa.
Early birds catches the worm

Loading suggestions...