ClassMonitor👩‍⚕️
ClassMonitor👩‍⚕️

@DaktariWawatoto

9 Tweets 125 reads Nov 23, 2021
FAIDA ZA PUNYETO na MAMBO YA KUEPUKA UFANYAPO PUNYETO.. 😋
#FestoHealthSpot
💦Inaounguza Ghalama
💦Punyeto ni salama kuliko aina nyingine yoyote ya ngono. Huwezi kubebesha Mimba Isiyotarajiwa au kupata maambukizi yoyote ya zinaa kutokana na Kupiga Nyeto
💦Husaidia kuweka mfumo wa kinga yako vizuri
🔹Watu walio imara katika punyeto kuchukua siku nyingi kuwa wagonjwa
💦Inaongeza hamu ya kufanya mapenzi zaidi/ boosts libido
💦Hupunguza shinikizo la Damu
🔹"Moja ya utafiti wa kihistoria ulibaini kuwa kujichua (Punyeto) hupunguza sytolic shinikizo la damu."
💦Huhesabika kama moja ya Zoezi
💦punyeto husaidia kuweka estrogen yako na kiwango cha Testosterone katika uwiano sahihi.
💦hupunguza hatari ya kupata shambulio la moyo.
🔹Maisha mazuri ya punyeto ni mazuri pia kwa moyo wako.
💦Inaweza kupunguza uwezekano wa kupata kansa ya tezi dume / Prostate Cancer
💦Inaboresha hali ya usingizi kwa haraka zaidi baada ya kupiga punyeto,
🔹Baada ya kufika kileleni au mshindo, homoni endorphins pamoja na prolactin hutolewa, ambayo hujihusisha na hisia ya utulivu na usingizi Mnono pia Hupunguza Maumivu Kabla Hujawaza kumeza Panadol Piga Nyeto
💦HUPUNGUZA MSONGO WA MAWAZO
MAMBO YA KUEPUKA UFANYAPO PUNYETO.
💦Kupiga punyeto Ukiwa Unagusa(Uke) na kisha kugusa Uume Wako🍆 au Kutumia Toy Moja na Mtu Mwenye Maambukizi ya zinaa unaweza kuwa kwenye hatari ya kubwa kupata magonjwa ya zinaa Kama Kaswende ,Kisonono n.k
💦Unapaswa kuepuka kubana uume Wako wakati ukitoa manii ili kuepusha Kuzuia mtiririko wa shahawa
Vinginevyo, hii inaweza kuharibu mishipa Nevu na mishipa ya damu kwenye uume, na pia italazimisha shahawa Kuingia kwenye kibofu cha mkojo.
💦Ikiwa unapiga punyeto katika nafasi ya uso-chini(face-down position) Unaweza kutumia Pressure zaidi kwenye uume, na unaweza kuiumiza. Ili kuepuka hili unashauriwa Kulala au kupiga nyeto ukiwa umesimama, umekaa, au umelala chali.
🔖ZINGATIA
Upigaji Uliokithiri wa Punyeto ni Hatari kwa Afya Yako..Hairuhuiwi kwa Watu Walio na Wapenzi..Piga Kistaarabu
USISAHAU KU RETWEET...

Loading suggestions...