SIR JEFF⚡🇹🇿
SIR JEFF⚡🇹🇿

@Sirjeff_D

22 Tweets 13 reads Jan 27, 2022
2021 ulikuwa mwaka mkubwa zaidi ktk historia ya crypto and blockchain tech, 2022 utakuwa mkubwa zaidi ya 2021.
2021 overview and 2022 Predictions in a nutshell.🧵👇🏾
Huu sio uzi kama nyuzi za - “nilikwambia ununue xyz ikiwa $0.1 leo ipo $1” hapana.
Huu ni uzi general kilichotokea 2021 na kujaribu kupredict kitakachotokea 2022 with facts.
Part 1: 2021 overview
Part 2: Jinsi ya kutoboa 2022
Part3: 2022 predictions
Grab some🍿
2021 Overview
1) 2021 mwaka wa kipekee; mkubwa zaidi ya 2009 wkt Satoshi anaanza kurun Bitcoin. Zaidi ya 2011 Bitcoin ilivyofika $1
2021 umekua mzuri zaidi ya ujio wa altcoins km Litecoin, Worldcoin, Dogecoin 2013
Zaidi ya 2015 Ethereum inaanza kurun, mzuri zaidi ya 2017 ICOs.
3) Huko kote nyuma ilikua ni kama experimentation na hype ya crypto na blockchain.
Lkn Kuanzia 2020 hadi tunaugunga mwaka tumeanza kuona matumizi halisi ya crypto na blockchain kwenye maisha halisi.
We are so early and this revolutionary innovation is here to stay. Uzi ss uanze
4) Kitu kikubwa zaidi kilichotokea 2021 ni nchi ya El Salvador 🇸🇻 kupitisha sheria ya kutumia #bitcoin kama legal tender (kama njia halali ya malipo).
Hii inachora ramani 1 kwa 1 kuwa probably bitcoin itakua Reserve currency for central banks.
Hii ni kubwa sana.👇🏾
5) Institutional adoption
Tumeona makampuni makubwa km Tesla, JP Morgans, Microstrategy, Twitter etc wakinunua bitcoin na kuongeza kwenye balance sheets zao -Fully Audited
Hii inaniambia kitu ki1 tu BTC is the biggest hedge against inflation, currency debasement & hyperinflation
6. 2021 Ethereum imetukumbusha kwanini ipo hapo ilipo. Imetu-introduce zaidi kwenye ulimwengu mpya ambao mm na ww hatujawahi kuimagine;
DeFi, NFTs, Tokenization, Play 2 Earn, DAOs, Smart contracts, Metaverse, Digital Ownership, dApps, Wealth distribution.
We now have usercases
7. Eth inatuchelewesha, high gas fees, slow na haiwezi kukua kuaccomodate watumiaji bilioni 1.
2021 tumeona Eth anakumbushwa hii ni capitalistic world, competition ni kali na akizembea naweza kuvuliwa vyeo.
Rise of Eth competitors: Solana, Avalanche, Luna, Fantom, Cosmos,
8. Developers are building, Investors wanatia mzigo, medias zina-popularize, creators wanabuni, marketers wanagrow, retail investors are making wealth, users wananifaika.
Its happening. Inaweza kuchukua muda but it will happen. Hawa watu hawabuild kujifurahisha. Its revolution!
9. We are so early; 10 yrs earlier.
2021 imetukumbusha kuwa wkt kuna competition kati ya Ethereum na blockchains zingine, kuna mind blowing innovations zinaendelea ndani ya Eth na competitors
Finance, Entertainment, games, VR, Communities (DAOs & NFTs), IoT, Big Data, AI
10. Hizi innovations tunaziita L2 scaling solution. Ndio zitafanya blockchain, crypto na web3 iwe accessible kwa watu bil 2-3.
Hizi ni blockchain soln zilizotengenezwa ndani ya blockchain network kubwa km Eth na competitors mfn Aave, Chiliz,Decentraland, Sandbox, Uniswap etc
11. Kama kuna kitu kizuri 2021 imetufanyia ni kutuonesha mazuri ya crypto na kuovershadow challenges nyingi ambazo zipo, ikiwemo hackers & scams
All smart people ninaowafatilia for years wapo huku. Elon, Naval, Ray Dalio, Saylor, Jordan Peterson, Mark Cuban, Mr. Wonderful, Kanye
12. Narudia; we’re 10 yrs earlier. like the internet boom in 90s and Early 20s
Its like App boom in 2010s,hatukuinvest kwenye FB,Google, Oracle, Apple, Intel, IBM, Tesla, Microsoft while it made everyone rich
But with crypto kila kitu kiko wazi, anyone can invest
Great thread👇🏾
13. Swali pekee ambalo najua wengi wanaweza kujiuliza ni — Tayari nimeacha😩, naweza kweli kutoboa, Am I going to make it??
WAGMI. Sijafanikiwa sana lkn I can share some tips jinsi ya kuleverage hii fursa na possibly kutoboa.
1st thing is KNOWLEDGE. Nitakufundisha vitu kadhaa👇🏾
14. Part 2: Kutoboa 2022 na crypto investing
Crypto ni pana sana, jua unataka nini — mimi nilishajijua nataka kuwa investor, naAllocate capital kwa projects ambazo naziona zina future potential.
Nataka kukufundisha jinsi ya kuchagua crypto za kibabe ambazo za kukupa return nzr
15.
i) Token Metrics/numbers
Kabla hata sijafungua website, kusoma whitepaper na kufanya research lazima kwanza numbers zangu zikubali
a. Risk to RoI (reward): Nainvest kiasi gani kupata return gani. Project changa ina potential kubwa ya kukua sana au kufa, so nainvest hela ndog
Project kubwa & solid haitakua na return kubwa lkn pia ina risk ndogo so naAllocate kiwango kikubwa cha pesa
b) Volatility: Je coin ya hiyo project ina movements kubwa kubwa? 10-20% per day. Sitaki kuinvest kwenye gari la mbao
c) Trading volume: Je watu wengine wanatia hela zao
d) Turnover ratio: Trading vol/MC. Hata project iwe nzuri, maarufu kiasi gani km haifikisha 0.1 ya Turnover Ration naachana nao. Nina exceptions chache
c) Hodlers stats kujua active users, wallets, addresses, transactions na coin allocation. Nijue whales ni kina nani😂
d) Velocity: Trading Vol/circulating supply
e) Speed ( transactions per sec)
f) Kama ni DeFi ama Dao lazima niangalie TLV - Total Value Locked. Ni km kujua bank fulani ina kiasi gani, ili nikiweka hela yangu baadae nisipate shida wkt wa kutoa
Km coin ikikidhi naenda phase ya 2
ii) Fundamental Analysis
Hii coin ni nini? Wanasolve kitu gani? Wana uniqueness gani? What do they offer?
Unajua Nafanyaje?
a) Naingia kwa website yao for background check
b) Naprint Whitepaper na kuisoma
c) Nikimaliza naingia YT kusikiliza wengine walivyoielewa
d) Nailewa zaidi na kuangalia roadmap yao (What they’re upto in future)
f) Tokenomics
Hii ni economics ya token km hujasoma kitabu cha ‘Token Economy’ fanya hivyo. Kitakusaidia
Nikiona kama ni project in make sense naenda phase ya 3
iii. Ecosystem & Community analysis
a) Backup investor
Je investors wakubwa duniani wanaorun investment firms na Venture Capitals wanaweka hela zao kwa hiyo project ama ni mimi tu.
Ni investors gani pia lazima nijue
b) Partnerships & trust.
Je watu wengine wanaiamini hiyo project, are they getting trust from partners? Ni partners gani na wana nguvu kiasi gani. Sio partnership na shirika la mkonge😂
c) Community & growth
Hapa nitaangalia km ni open system engagement.
Active developers
Active users
Active team - EMA and activities
Social media engagement etc
d. Other resources
Lazima niingie discord, Youtube, Github, Twitter na Reddit kuona sentiments za watu wengine kuhusu hiyo project.
FINALLY naweza kuinvest capital yangu nikiwa 90% informed.
I don’t invest less than $1,000 kwa project At least inaweza kunipa tangible returns.
Nimechoka kuandika na Thread ishakuwa ndefu na sijamaliza final part.
PART3:
My 2022 predictions, crypto watchlish... hapa nina list ya projects km 60 ninazoziangalia.
I will only invest in 20-25 projects. Zote ziko solid mpk nachanganyikwa.
Kwann Part 3 tusifanye Spaces??

Loading suggestions...