SIR JEFF⚡🇹🇿
SIR JEFF⚡🇹🇿

@Sirjeff_D

31 Tweets 36 reads Jan 08, 2022
Jan 7 mwaka 1943 katika chumba kidogo wake umekufa ulikutwa umekufa. FBI walifika ndani ya dakika 30 na kuchukua kila kitu walichokuta.
Kabla ya kifo chake aliishi kinyonge, akiwa mpweke, afya mbovu na fukara.
Nini kilimtokea mwanasayansi NIKOLA TESLA.
🧵In a nutshell
1/Ukiamka asubuhi ukachomeka simu kwenye charger, ukaenda kuwasha heater uoge, then ukaenda jikoni kupasha chakula kwenye oven, na kuchukua maziwa kwenye fridge
Unaanza kula huku unatazama TV ukimaliza uwashe gari uende kuchakarika. Vyote hivi visingewezekana bila Nikola Tesla.
2/Siku aliyozaliwa kulikuwa na radi kali sana mpk daktari akatia “atakukua mtoto mwenye nguvu za radi” mama’ke akasema “hapana atakuwa na nguvu za mwanga💡” (radi ni kelele tu, mwanga ndio real energy)
Tesla alizaliwa Croatia 1856, familia duni sana lkn mama’ke alikua genius🤯
3/Georgina alizaliwa na uwezo mkubwa sn wa kumemorize, aliweza kucalculate complex numbers kwa kichwa. Pia alikua psychologist akagundua mwanae Tesla ni Genius akiwa bado mtoto kbs.
Georgina akaanza kumnoa Tesla mapema, na Tesla akafall in love na ‘light and electricity’
4/Akiwa na miaka 14 tayari Tesla alikua anaongea lugha 8 tofauti, anafanya hesabu za Calculus, walimu walidhani anaiba majibu. Alimaliza elimu ya awali miaka minne mbele ya alioanza nao.
Kutokana na utabe wake Tesla Akapewa scholarship ya kusona Austrian Polytechnic University
5/Tesla alikuwa hatari sana chuo, aliwachallenge na kuwapiga knockout maprofesa. Aliona vitu vingi vinavyofundishwa kuhusu umeme vimekaa kimichongo.
Mwaka wa kwanza aliPerfome vizuri mno, lkn second year akadropout chuo akaingia mtaani kupambana.
6/Akapata internship ktk shirika la posta, ali-redesign mifumo ya umeme, akabuni vitu vipya vilivyoshangasa watu, ndani ya miaka miwili tu akapandishwa cheo kua Mkuu wa department ya umeme
Shirika la simu la Budapest likapata taarifa za Tesla, wakampenda, wakamuiba kutoka Posta
6/Akapata internship ktk shirika la posta, ali-redesign mifumo ya umeme, akabuni vitu vipya vilivyoshangasa watu, ndani ya miaka miwili tu akapandishwa cheo kua Mkuu wa department ya umeme
Shirika la simu la Budapest likapata taarifa za Tesla, wakampenda, wakamuiba kutoka Post
7/Huku alikutana na mambo ya telecomm, sio vitu vyake, Tesla ni mtu wa umeme. Lkn ndani ya muda mfupi akaelewa mifumo yote, akaanza kuiformulate vzr na kuleta new ideas and solutions.
Mwaka mmoja tu akawa Chief Technician wa Budapest Telegram. Taarifa za Tesla zikazidi kusambaa
8/Kampuni ya umeme kubwa zaidi duniani ya Edison Company ikapata taarifa za Tesla, wakampandia dau, wakamchomoa Budapest Telegram na kumwajiri kwenye HQ yao ya Hungary🇭🇺
Akiwa pale alifanya maajabu hadi wakasema huyu dogo hatakiwi kuwa huku uchochoroni, anabidi afikishwe USA🇺🇸
9/ June 1884 Tesla akaingia New York, USA akiwa na senti nne tu na recommendation letter ya mwajiri wake wa mwisho.
Tesla akakutana kwa mara ya kwanza na Thomas Edison, inventor maarufu anayejulikana kwa kubuni bulb ya umeme💡
T. Edison pia alikua mfanyabiashara maarufu.
10/Tesla na Edison wakatokea kua maswahiba wakubwa japo Tesla alikua mtoto na fukara kulinganisha na Edisom.
Tesla aliwahi kuandika “My Dear Edison: I know two great men and you are one of them. The other is this young man!”
Unyama wa Tesla ulikua kwenye ubongo🤯🧠
11/Tesla alimchallenge sana Edison, because Edison aliinvent Direct Current (DC) - yani umeme unatembea kwenda upande mmoja tu.
Tesla aliamini hiyo ni nonsense, gharama kubwa na sio effective. Akainvent Alternating Current (AC) - yani umeme unaweza kubadili direction kwenda ppt
12/Uvumbuzi wa Tesla ulikua wa kibabe sana kwa kipindi kile, lkn Edison hakupenda kbs invention ya Tesla kwasababu ilikua inaingilia maslahi ya biashara yake/zake.
Km ubunifu wa Tesla ungetumika Edison asingeweza kuuza bulbs zake ambazo zilikua zinatrend.
13/Edison akamchallenge Tesla, aRedesn inventions zake 20 ambazo alizianza lkn zikabuma. Akamwahidi Tesla $50K, kwa miaka late 18, ilikua pesa kubwa.
Tesla akavaa koti akaingia lab, miezi minne akarudi na maunyama sana. Guess what? Edison akamkunjia Tesla, akakataa kumlipa kbs
14/Tesla akaona huu sasa ni upumbavu, akamchana Edison live kua sio mtu mzuri, akabwanga nyanga. Akaingia mtaani kupiga vibarua vya kuchimba mifereji kwa $2 per day.
Edison akamkejeli, akisema challenge aliyompa Tesla ilikua utani tu, lkn hakua na nia ya AC. Tesla aliumia mno.
15/Kampuni ya Western Union ikapata story za Tesla, wakamtoa mtaani, kumrudisha lab
Tesla alikua na hasira mno, alivyorudi lab aliinvent vitu ambavyo dunia inavitumia kwa miaka 100 sasa na miaka 100 baadae
Alibuni motors, electric coil, transformer na mfumo mzima wa umeme wa AC
16/Tesla alibarikiwa kuwa na Ubongo wa tofauti sn, aliweza kuona numbers kichwani km patterns, alimemorize ktk mfumo wa picha kwenye ubongo.
Aliweza kudesign mfumo mzima wa umeme kichwani kwake kabla ya kuubadili kuwa reality.
Aliregister patents 350 za kibabe
17/Tesla hakuishia hapo. Akadesign neon light na neon bulb (taa za rangi/urembo), akabuni x-rays, akabuni mfumo wa kusambaza umeme tunaoutumia leo
1895 Tesla akainvent Hydro-electric power (huu umeme wa kufua kwa maji km Nyerere-Stiegler’s gorge)
1897 akabuni Radio signals
18/Unyama wa Tesla ulikua ni adhabu & pigo kali kwa Edison. Akaamua ammalize kabisa Tesla kwa nguvu ya pesa.
Lab yake ikachomwa moto na kuteketeza kazi yote aliyofanya ktk maisha yake.
Tesla hakua na nia ya utajiri, furaha yake ilikua inventions tu, wakapiga mshono kisawasawa
19/Then, Edison akaanza vita ya patents. Akawalipa inventors wa michongo wamshtaki Tesla kwa kuiba inventions zao. Alitumia pesa nyingi, kwa wakati huo alikua one of the top richest men in US
Tesla akapokonywa patents za Radio na Xray. Haya matukio yalisababisha Tesla a-collapse
20/Njia pekee ya Tesla ku-survive mental breakdown ilikua kudesign cha kibabe chenye impacts kubwa na hakuna mtoto yyt duniani angeweza kuredesn.
Tesla akasuka mfumo wa kusambaza umeme wirelessly for free kwa mji wote wa NY. Alisema anaweza kutengeneza umeme hewa inayozagaa bure
21/Hii project Tesla aliifanyia kazi kichwani kwake kwa miaka 6, then miaka mi3 kudesign mfumo in paperd, project ilikua na gharama ya $1mil enzi hizo (a lot in todays $)
Tesla akiwa hana hata 100. Kesi zilimuumiza, parteners waliokua wanamfinance wakafilisika. Tesla alikua vby
22/Mwishoe Tesla akadaka attention ya JP Morgan (founder of JP Morgan one of the biggest and pioneer of modern banking)
Akapenda wazo la Tesla, akamfinance $150K, pesa ilikua ndogo sn lkn Tesla akakubali akomae hivo hivo. Kazi ikaanza, ila ikaishia kati, JP akagoma kuongeza $
23/Hapa sasa Tesla akacollapse mara 100. Watu wakaanza kundhihaki na kumcheka, wanasayansi wakamkejeli,media zikamchapa. Ilimtoa kbs Tesla kwenye mchezo
Kilikua kipindi kigumu sana. The guy was smart lkn hakujua roho za binadamu. Watu walitajirika kupitia yy, hukuvakibaki fukara
24/Akakosa mpk sehemu ya kulala. Urusi wakamfata Tesla wamuibe ili adesign vifaa na mifumo ya kivita, wakamtumia $25K,Tesla akachomoa akarudisha hela yao.
Msamaria mwema tajiri wa New Yorker hotel akamdhamini Tesla chakula, malazi na chumba kidogo kama Lab.Tesla aliappreciate sn
25/Akiwa ktk savere psychological meltdown hakuacha kufanya anachokipenda zaidi.
Akabuni remote kutuma signal, hiyo remote iliweza kucontrol boat ndogo watu wakamcheka. Akadesign mifumo mingi ya kuzuia vita. Aliandika vitu vingi ambavyo vingine vimezinduliwa 100 yrs later
26/Aliishia kuwa mpweke, akadevelop OCD, akachukia sana wanadamu, akatengeneza mapenzi na njiwa weupe. Aliweza kupredict exactly kifo cha njiwa ampandae zaidi kwa kutumia Energy and light.
Hakuheshimiwa wakati wake ila leo hii hakuna asiyejua TESLA ya Elon
26/Tesla hakuwahi kufanya mapenzi tangu kuzaliwa hadi kufa. Baada ya kifo chake FBI waliseize possessions zote za Tesla, wakazifanya kuwa highly confidential documents.
Alikuja kushinda kesi zake za patents akiwa ameshakufa. Barua ya mwisho aliyomwandikia mama ake alisema
RESPECT TO ONE OF THE SMARTEST GENIUS EVER LIVED.
Sijui shida ni nini kwenye kupost lkn part 7 hadi mwisho inaendelea hapa👇🏾👇🏾

Loading suggestions...