Mwalimu alivaa suti nzuri akawa anatoka Ikulu, Mama yake akamuuliza kwanini hauvai kama watu Unaowaongoza? Siku nyingine Mwalimu alikuwa kwenye Kikao Ikulu, Mama yake akaja akasema Unaongea sana hauwapi wenzako nafasi, Mwalimu akawauliza Wenzake nao wakajibu ni kweli. #Nyerere100
Mwalimu alisema Mama yake alikuwa ni miongoni mwa wake 3 kati ya wake 22 walipendwa zaidi na baba yake. Mama yake Mwalimu alifariki Mwaka 1997 akiwa na Umri wa Miaka 105. #Nyerere100
Loading suggestions...