Huu uzi utakuongoza kwenye safari yako ya CRYPTO kama ni beginner.
Kelele, Jargons, Hype, Criticism ni nyingi... Lakini haziondoi potential kubwa iliyopo kwenye CRYPTO.

Lugha, Sheria, Energy na Fedha ndio vitu vinne vya msingi vinavyoguide civilization yoyote tangu enzi.
Lugha, Sheria na Energy viliruhusiwa kugrow na kuadvance, lkn Fedha ilizuiliwa isikuwe vizazi kwa vizazi.
Fedha tunayoitumia 2022 haina utofauti na fedha iliyotumika 1922

Crypto kimsingi ni maboresho ya fedha na mifumo ya kifedha.
Hii inaondoa madhaifu mengi ya fedha na mifumo ya kifedha ambayo kwa kiwango kikubwa imechangia kudidimiza uchumi wa mataifa na individuals
Moja ya changamoto kubwa ya fedha ni CONTROL.

Ni watu wachache sana kwenye kila nchi, wamepewa jukumu la kusimamia fedha.
Tunajua hii mbinu sio effective sana kwenye dunia ya leo ambayo ipo ktk peak ya Free enterprise & capitalism
Yani watu 20 wanatoa maamuzi yanayoinfluence maisha ya watu mil 100... Wakifanya makosa??

Sasa Crypto inaondoa hiyo CONTROL. Huku Fedha hazifichwi fichwi kwa ajili ya watu wachache.
Sijui nielezeaje... Fedha by fundamental principles, ni Data entries kwenye ledger system.
So fedha ni taarifa ya kuhamisha thamani kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine... Swali ni?

Hizo taarifa zinatunzwaje? zinatunzwa na nani? Na kwenye mfumo upi?
Taarifa za crypto zote zinatunzwa kwenye blockchain.
Blockchain ni ledger system ambayo inapokea na kutunza taarifa kwa kutumia Code, zenye security kubwa.
Hizi taarifa hazichakachuliki na ni transparent.

Mfumo wa zamani, taarifa za fedha zinakusanywa na kutunzwa kwenye ledger ya banks, ambao ni km correspondents wa benki kuu ya nchi husika.
I think umepata mwanga japo kidogo... Sasa how do you CRYPTO??

Kwanza utambue kuna COIN na TOKEN
Mfumo wa blockchain ulivyodesigniwa, lazima kuwe na Currency inayoactivate operations za hiyo blockchain. Hiyo ndio COIN
Kwenye hiyo blockchain unaweza kutengeneza financial products zingine on top of it, ambazo zitahitaji independent TOKENS

Mfano kuna blockchain network inaitwa ETHEREUM, utahitaji ETHER km coin ya kuoperate kwenye hiyo blockchain.
Lkn ndani ya Ethereum kuna financial products km Tether, Uniswap, ApeCoin, Aave, Loopring etc.
Hizi zote zinatumia TOKENS zao kuoperate kwenye ETHEREUM blockchain

Jinsi ya kuanza Crypto, kwanza kabisa elewa vitu usikurupuke. Ukielewa unachofanya, ni rahisi kupima results na kutodeviate away from truth.
2. EXCHANGES
Huku ndio sehemu ya kununua crypto. Inabidi ufanye research kujua exchanges gani ni nzuri.
Lkn mm napendelea zaidi...

Automated markets, yani exchange ambayo ni dentralized, hkn central authority km Binance, wanaweza kuamka na kuzuia withdraw ya COIN fulani.
The best in the market ni
-PancakeSwap
-UniSwap
-SushiSwap
-SpookySwap
-Serum
The best in the market ni
-PancakeSwap
-UniSwap
-SushiSwap
-SpookySwap
-Serum
3. STABLECOINS
Hizi ni Tokens ambazo zinarun kwenye blockchain lkn zinareflect standard value ya currency za kawaida mfn USD, Euro, Cable, Yen
Wengi hutumia TETHER (USDT) ambayo muda wote ina value ya USD.
Muda wwt unaweza kuamua kuSwap COIN & TOKENS zako kuwa Tether, then...

Unaconvert into real world Dollar km utahitaji.
Lkn mimi niliamua nianze kutumia Stablecoin zinazoOperate kwenye TERRA LUNA blockchain
Kuna stablecoin strategy maarufu sana ambayo Soko la crypto likipigwa winter (bearish) unahamisha COIN zako into Stablecoin, unamaintain Value

4. CRYPTO LENDING
Umenunua coins zako, maybe huna kazi nazo mwaka mzima, unafanya nini??
Unazikopesha kwa watu wengine ambao watakulipa kwa interest ambayo hkn benki yyt DUNIANI inaweza kukupa.
Kuna crypto solutions zinakupa interest hadi 20% kwa mwaka, bila kujali capital yako

Obvious bank watakupa 0.1% lkn kwenye crypto kuna. lending protocals, kila kitu kinaoperate kwa CODE (smart contracts💻)hkn drama
-Anchor protocol
-Aave
-Compound Finance
-Yearn Finance
-Uniswap
-Curve finance
Hizi ndo the popular zaidi na zimeshapitia changamoto za kutosha😅

5. CRYPTO INVEST/SYNTHETIC SHARES
We all know about stocks
Kina mtu ana njia na strategies zake, lkn ukimshtukiza Mtanzania yyt hata km senious banker, akueleze jinsi ya kuown stock ya Tesla ama Apple, atabaki anatumbua mambo
Crypto solves thats.

Huitaji kulala chumbani kwako umekumbatia hisa ya kampuni ya mmarekani...
unachokihitaji ni hisa ya kampuni fulani ikipanda, na ww utajiri wako upande... hata ukiwa umelala Tanzania. So you create SYTHETIC SHARES za Tesla kwenye
-Mirror protocol
-Synthetix
ZERO TAX😅🙌

6. CRYPTO ART, CRAFT & CULTURE
Huku ndio sehemu ya kuhamusha talent na ubunifu wako ili uendane na kasi ya kizazi chetu.
Km anavyofanya @NaiboVisuals, anauza artworks zake za photography ktk blockchain. Biashara yote inaishia huko bila longolongo.
Tutahost Space soon. Lakini..

Solutions kama
-Opensea
-Rarible
-SupetRare
-Nifty Gateaway
-Mintable
Zimesaidia kutufungulia ulimwengu mpya wa kuonyesha, kuuza na kutunza vipaji vyetu kwenye cyberspace.
NFT ina vitu vingi ndani yake... like unaweza kukopa hela nyingi na collateral ni NFT tu, sio nyumba yako.

7. CRYPTO ENTERTAINMENT
Kwenye maisha kawaida unakuwa entertained, lkn huingizi sentano. Crypto unalipwa kwa kuwa na furaha
-Unacheza game na unalipwa; Play-and-Earn
-Social Tokens; your fav sports clubs, AC Milan, Juve, Madrid. Unazishangilia huku pesa yako inaendana na furaha

Vitu ni vingi... kuna vitu vingi mno vya kujifunza na kuvielewa.
Take your time, don't rush. Elewa RISKS zilizopo na jinsi ya kuzimitigate.
Otherwise, weekend njema.

Loading suggestions...