Pleasure Me ๐Ÿฆ‹
Pleasure Me ๐Ÿฆ‹

@PleasureMe19

31 Tweets 377 reads May 03, 2022
Kama Unaweza Kufanya Mapenzi vizuri Bila Kufika Kileleni, Nitakuonyesha Jinsi ya kufika kileleni kwa njia hii Rahisi ya Kusisimua Kinembe . . .
P.s Retweet Pls..๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
.
Hivi unafahamu kuwa Kufanya Mapenzi (having healthy Sex) Huboresha mpaka Afya ya Moyo..?
..kama Utashindwa Kufika kileleni ina maana kuwa Hutoweza Kufikia Lengo la Kuimarisha Afya ya moyo wako pamoja na Kinga ya mwili
.
๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
Kufanya mapenzi huweza kusaidia Kupunguza Stress, kuboresha afya ya ngozi, na zaidi husaidia kujihisi bora na huongeza Furaha
Ingawa kwa wanawake wengi, zoezi la Kufika Kileleni wakati wa kufanya mapenzi limebaki kuwa Kitendawili kama ilivyo G Spot yenyewe
.
.
Kwa mujibu wa Tafiti zilizofanywa mwaka 2017, ni asilimia 18.6% pekee ya Wanawake
.. hufika kileleni kwa Kusugua uume ndani ya kuta laini ndani ya uke pekee, pasipo matumizi ya mikono, Ulimi, mdomo au hata Sex Toy
.
๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
.
siku zote nilizowahi kufika Kileleni binafsi naweza sema nimegundua kuwa ni kila mara baada tu ya kuzingatia na kukichezea Kinembe ipasavyo
kabla na wakati wa kuusugua uume ndani ya kuta laini za uke ambazo
.
๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
.
Sad Truth ni kuwa Kuta za ndani zaidi za uke hazina msisimko wowote ule unaoweza kumfikisha mwanamke kileleni
Na huu ni Uongo ambao tumejifunza wenyewe kutoka kwenye Porn Videos na Jamii yetu kiujumla
.
๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
.
G Spot ni nini.?
Nafahamu kuwa mpaka sasa tayari umewahi kusikia na tayari hata umewahi jifunza jinsi ya kusisimua G Spot
.
๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
Najua pia huenda tayari unaelewa how it feels like, when dealing with that particular area (G spot)
...Ladies najua tunaelewana vema sana hapa . . .๐Ÿคค๐Ÿคญ
.
๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
.
By the way kama na wewe unatamani kujua namaanisha nini ninavyosema Msisimko Usioelezeka
Au labda kama unadhani Huenda ni Hadithi tu.. Kiukweli mi mwenyewe sina cha kukwambia
.
. .Kwasababu ni Kweli Haielezeki. Au labda niseme its Complicated ๐Ÿคค...
๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
Kwa mara ya kwanza kabisa, mwaka 1982 Dr. Beverly alithibitisha Uwepo
.. pamoja na sehemu ambapo G Spot ipo, katika Kitabu chake alichoandika 'The G Spot'
Dr Beverly Whipple pia Kwa mara ya kwanza aligundua Mtindo Maarufu sana wa Kusisimua G Spot (.. Come here Motion by two Fingers)
'kwa zaidi ya miaka 40 ya Tafiti mbalimbali, kazi yangu imekuwa kuelezea Uhalisi wa Misisimko ambayo itamsaidia Mwanamke Yeyote Kufika Kileleni'
๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
Anaeleza Dr. Whipple ambaye kwa Sasa ana Umri wa Miaka 88...
. .Pia ni vizuri sana kutambua kuwa hutoikuta G spot mahali kama ambavyo Pua yako ipo hapo katikati ya sura, Hapana!
.
๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
.
Badala ya Kudhani kuwa G Spot nayo yaweza kuwa ni sehemu kama zilivyo Korodani kwa mwanaume,
..G Spot sio kitu bali mwendelezo wa Neva za Kinembe chako
(Kama Unakumbuka vizuri basi kichwani lazima ikujie picha ya Wishbone )
.
๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
.
..Sehemu yenye Rundo la tissue nyingi sana ambazo hutanuka baada ya Kupata msisimko kwa kusugua baadhi ya sehemu Maalumu ndani na nje ya uke
Na ndio maana inasemekana kuwa,
..Kinembe ndicho husisimka wakati wa kusisimua hiyo inayoitwa G au Grรคfenberg Spot
.
๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
Kinembe kinabaki kuwa Sehemu Muhimu sana Kwasababu moja tu Ambayo nayo ni Siri wasioyotaka Uijue
...Kinembe kina kazi Kubwa hasa katika Kufanikisha
Zoezi la Kufika kileleni Kwasababu ni Kikubwa kuliko jinsi ambavyo tulikaririshwa
.
๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
.
Kwahiyo position ya G spot hutofautiana kati ya mtu na mtu,
. . .kumbuka kila mmoja ana maumbile yake kivyake na ndivyo ilivyo hata kwa G spot
Na ndio maana mpaka Leo Hii kuna idadi Kubwa ya wanawake ambao hawajui ilipo
.
๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
.
Sasa nitajuaje G Spot ilipo.?
( L a d i e s najua unajiuliza swali kama hili..
. . ni Ukweli Kabisa kuwa inaweza kuwa ngumu sana kujua mahali halisi ilipo G Spot
.
๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
.
Kwasababu haipo kwenye ramani ya mwili wa binadamu kama kilivyo kitovu au Sikio la Kushoto
..Lakini haimaanishi kuwa haiwezekani kabisa kujua ilipo
.
๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
.
Badala ya kujaribu kuitafuta ilipo wakati wa kufanya mapenzi na mwenzako a s i y e na Kinembe kama wewe...
Ni rahisi sana Kujua ilipo kwa kufanya Uchunguzi au naweza sema Utafiti binafsi
.
๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
Kama na wewe Leo upo hapa Kwa lengo la Kujua G spot yako ilipo
Hapa nimeweka Hatua chache sana za Kupitia
.. and Believe me, โš ๏ธ Do not Try this one please kama haupo kwenye mazingira Safe..
(I mean kama upo Ofisini pls Subiri mpaka baadae Ukiwa Private pekeyako)
.
๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
.
Spoiler Allert : โš ๏ธ Nataka uanze kwa ku relax kabisa.
Yes relax, Unapoanza Kushika sehemu zako unazo zifahamu zenye msisimko,
.. endelea mpaka utakapohisi uko tayari kwa hatua inayofwata
.
๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
๐Ÿ‘‰๐ŸพAnza Kusugua Taratibu sehemu ya wazi katikati ya Uke (Vaginal Opening) kwa kugusa gusa taratiibu
..Fanya hivi kwa Muda kabla hujaingiza kitu chochote kile ( either Kidole au hata Sex Toy )
.
๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
๐Ÿ‘‰๐ŸพKwa Kutumia Vidole viwili cha pili na cha kati, Fanya kama Unamuita Mtu aliyeko mbele yako
( C o m e h e r e Motion )
..Rudia Rudia kufanya hivi vidole vyako vikiwa ndani ya Uke
.
.
๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
.
Kumbuka, hapa haujaribu kuigusa au kuifikia Button Fulani Hapana,
..Unachokifanya hapa ni Unajaribu kutafuta ni wapi penye Msisimko zaidi
Endelea Kufanya hivi kwa kadri Msisimko unavyoongezeka zaidi,
.
Badala ya Kuingiza vidole na Kutoa, utatamani kuendelea Kuweka Juhudi kubwa kusisimua eneo hili la Maajabu A.K.A The Grรคfenberg Spotโน
.
Bonyeza Follow @pleasureme19 Sasahivi Kama bado Hauja nifollow,
.
๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
ili uwe miongoni mwa Wachache kati ya Wengi ambao
.
.
๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
..huwa wanapata Uhondo huu pamoja na ELIMU Hii ya BURE Kabisa
.
Utakayoipata hapa kwenye TL Yangu Kila Siku . .
P.s Kama na wewe ni Miongoni mwa walionufaika na Uzi huu,
...pls naomba usiache ku Retweet Moja kati ya Tweet zilizopo kwenye Uzi huu . .
.
. .I believe Kuna Mtu Utamsaidia kwenye TimeLine (TL) yako
P.p.s Hakikisha Unabonyeza button ya Retweet pls ili Ujumbe Huu uwafikie Wengi Zaidi
Nakuamini Mtu wangu..๐Ÿ˜‡
โ™กยฉ๏ธPleasureMe19
Cheers๐Ÿฅ‚
.
.
Pls dear Nakuomba Unisaidie Ku Retweet Kama Hutojali ๐Ÿ™๐Ÿพ
@JoselineKasheku @msumi_joseph @Njamasi_ @nyuki_malkia @Big0047 @UTAJUA_HUJUI @mlela_rosemary @jacqmimih @Nuratymiss @SalomeMushi_

Loading suggestions...