short
Economics
Finance
Analysis
Trading
Risk Management
Balance
Bullish
Bearish
Trading Psychology
Terminology
Equity
Price
Margins
Timeframe
Spread
Leverage
Trading Industry
Trading basics
Fx Trading
Pending orders
Currency Pair
Long
Candlestick
Demo Ac
Bid
Ask
Buy
Sell
Lot size
Broker
Pips
Nipo kwenye Trading Industry mwaka wa 4+
Guru wengi watakwambia Trading ni 90%
-Risk Management
-Trading psychology
-Analysis
Trust me! kama hujui Trading basics ni sawa na kazi bure.
Fx Trading 100% inaanza kwenye foundation/Basics.
Retweet yako itanitia moyo sana
[UZI ]

Fx Trading terminologies ambazo nitakufafanulia 1 baada ya nyingine kwa lugha nyepesi kabisa.
Bearish & Bullish
Pending orders
Currency Pair
Long & short
Candlestick
TimeFrame
Demo A/c
Bid & Ask
Buy & Sell
Leverage
Balance
Margins
Lot size
Spread
Broker
Equity
Price
Pips
Bearish & Bullish
Pending orders
Currency Pair
Long & short
Candlestick
TimeFrame
Demo A/c
Bid & Ask
Buy & Sell
Leverage
Balance
Margins
Lot size
Spread
Broker
Equity
Price
Pips
✨Currency Pair.
CP
Fx Trading ni ubadilishaji wa sarafu za kigeni mtandaoni (currency).
Sarafu 1 inauzwa na nyingine inanunuliwa, lazima kuwe na sarafu 2.
So zikiwa mbili ndio zinatengeneza pair (currency pairs), mean 2 currency.
Ex. EURUSD, GBPUSD.
Kuna aina 3 za CP.

✨Buy & Sell.
Kwenye Fx trading tunauza na kununua pesa.
Tunanunua tukiona thamani ya pesa inapanda na tunauza tukiona thamani ina shuka.
Ex. EURUSD
Ukifikiri kuwa EUR itapanda na USD itashuka thamani utanunua EURUSD na kinyume chake.
Utabapa faida endapo utakuwa sahihi tu.

✨Long & Short.
hii ni sawa na kusema buy & sell.
•Long=buy
•short=sell
Tofauti ni ndogo Sana.
Long & short inatumika kuashiria kitendo Cha muda mrefu kidogo inaweza ikawa zaidi ya siku.
Buy & sell ni ku weka order zako sokoni inaweza ikawa kwa muda mfupi.

✨Bullish & Bearish.
Hii term pia haina tofauti na Long & short.
Bei au price ya currency pair ikiwa inapanda juu tunasema ipo kwenye Bullish pia ikiwa inashuka tunasema ipo kwenye bearish.
Hapa tofauti ni Momentum tu, hapa tutasema Bullish & Bearish momentum.

✨Price.
•Bei.
Huwezi kununua na kuuza kitu kisicho na bei.
Kila pair ina bei yake, bei ni thamani ya pair.
Bei ina panda/kushuka
Ex. EURUSD Bei yake ya Sasa ni 1.1234.
Ukitaka kununua hii pair lazima u negotiate bei,
Bei ikiwa juu utauza na ikiwa chini utanunu.

✨Pip.
•Point.
Unaijua Bei/ price ya pair? Yes! Nimetoka kukuelezea hapo juu.
Sasa pips ni nini?
Hii ni bei ndogo sana inayobadika kila sekunde.
Pip ndio inatengeneza faida sokoni, na trader's natafuta pips ili kupata faida.
Ex. EURUSD
Bei, 1.1234
Pips ni 4

✨Order & pending order.
Ulishawahi kuweka order ya chakula mgahawani?
Kama bado basi we ni wakishua🤣
Yes! Na kwenye Fx kuna order
•Order
Ukitaka kununu EURUSD lazima uweke order yako ya kununua sokoni.
Utanunua EURUSD ngapi? na kwa kiasi gani? hiyo ndio maana ya ORDER.

✨Pending orders.
Ni order ambazo hazijawa orders zinasubiria kua order (pending).
Ex. EURUSD bei yake ni 1.1234, ila wewe hutaki kununua kwa hii bei, unataka kifika 1.1239 ndio ununue.
Hapa utaweka pending order kusubiri bei ifike ndio uingie sokoni.
Kuna aina 4 za P.O

✨Candlestick.
Japanese Candlestick.
Ziligunduliwa na trader wa kijapane
Haya ni maumbo tofauti tofauti yanayo tumika kujua tabia ya bei, tabia ya kupanda na kushuka.
Kwa kutumia hizi mauombo utajua price inaelekea wapi.
Kuna ainabili za candlestick
Bull na bear candle.

✨Lot size.
•Contract size/position size.
Ni kiwango Cha pesa unacho tumia kununua pair flani.
Ex. EURUSD
Ukitaka kuuza/ kununua hii pair lazima utoe pesa ili uipate kwa bei unayo taka, ikipanda au kushuka utapata faida au hasara.
Kuna aina 4 za lot.
Hii ni muhimu.

✨Bid & Ask Price.
Ukienda bank kwenye Bango la kubadilisha pesa utakuta wamekuwea bei 2
Bei ya kununulia na kuuzia.
Ex. Ukitaka kununua EURUSD utanunua kwa bid na kuuza utaauza kwa Ask.
Kwenye Fx trading pia hii concept ni muhimu sana, lazima uijue vizuri.

✨Spread.
tofauti Kati ya Bid & Ask price inaitwa spread.
Ex. Pairs EURUSD
Bid , 1.1234
Ask, 1.1240
Spread itakua 6.
Trader's wengi wanapuuzia spread ila ina impact kubwa Sana.
Kuna brokers wanaweka spread kubwa sana, so trader order zake kuingia kwenye profits zinachelewa.

✨Leverage.
Trading Fx ingekua ngumu Sana pasipo leverage.
Ni kama ka mkopo fulani broker anaku bust ili upeleke order zako sokoni Kwa urahisi.
Kama umewahi kufanya biashara za mazao na wahindi utakua unanielewa vizuri hapa.
Leverage ipo kwa mfumo wa ratio.
Ex.1: 300, 1:500,

✨Time Frame.
TF
Bei ya pair ina move fasta sana kwa kila sekunde.
Hapa unapo soma huu Uzi bei ya EURUSD ina panda na kushuka.
So TF ni muda tofauti unatumika kusoma price movement.
TF imewekwa kwa makindi
Kuanzia minutes, hourly, daily n.k
Trader atachaua TF ipi inamfaa.

✨Demo Account.
Account ya mifano ya kujifunzia na kufanya majaribio.
Hii account inkua na $$ ambazo sio halisi ili kumpa nafasi mtu naetaka kujifunza Fx Trading kufanya kwa mifano.

✨Balance.
Kiasi Cha $$ unacho deposit ili uweze kununu EURUSD sokoni.
Una deposit kwa Broker.
Unapao pata faida au hasara pi abalance Ina pungua na kuongezeka.
Ex.
•$100
•$1000
Balance sio lazima iwe ni $ inaweza kuwa €

✨Broker.
Brokerage firms.
Watu wanawaita madalali,
Hizi ni tasisi zinazoendeshwa kisheria kabisa.
Kwajili ya kupokea pesa za Trader na kumpa platform apeleke order zake sokini.
Huwezi kushiriki kwenye soko la Fx pasi na broker.
Hii ni concept muhimu sana, ichimbe zaidi.

✨Meta trader 4/5
Mt4.
Hii ndio tools muhimu ndio imebeba terminologies zote nilizoeleza hapo juu.
Kila kitu unaweza maliza hapa once umesha deposit pesa kwenye trading account yako.
Ni App unaweza install kwenye smartphone au computer.

Hope Uzi utakusaidia sana kujua trading basics ambazo zilikua zina kuchanganya though nimeeleza kwa ufupi na Kwa lugha ya kiungwana utakua umeelewa zaidi.
Kwa beginners utakua umepata mwanga.
Nikuombe urudi juu uka retweet tweet ya kwanza, ili nipate moyo wa kukuletea Uzi Zaidi

Trading basic or terminologies bado zipo nyingi Sana nitaendea ku share hapa kwa kadri nitakavyo weza.
P.s feedback kwangu ndio muhimu, uki retweet nijua umesoma na kuelewa hii Thread.
Cheers.
Happy weekend.
Leo anakufa mtu kwa mkapa⚽

Loading suggestions...