Miaka mi 4 kwenye industry ya trading nimekutana na upuuzi mwingi sana wa Fx Brokers.
Changamoto nilizo kutana nazo.
-Kucheleweshewa withdrawals
-Price manipulation
-Kuongeza Spread
-Stop hunt.
Leo nakufundisha njia 10 za kumsoma broker mzuri.
Usije kusema hukuambiwa.
-Uzi-

Jana niligusia hii mada ya BROKER'S, aisee feedback niliyoipata nimeona nikuletee Uzi.
Trader's weng wameshapitia kwenye changamoto za broker uchwara.
Kama kuna upuuzi umeshawahi kufanyiwa na Broker please usiache kushare kila tweet unayosoma hapa.
Goπ

Brokers ni nani?
Kwa lugha nyepesi ni dalali au mtu kati alie sajiliwa kisheria kukukutanisha na soko kubwa la fedha, (financial Market)
Broker ndio mtu (kamupini ni mtu kisheria) naweza kufanya ukafanikiwa au ukapotea kabisa sokoni.
Ni muhimu sana kujua huyu mtu nje ndani.

Ili uweze kumjua Broker mzuri ni vyema ukaendelea kusoma huu Uzi mpaka mwisho.
Brokers mzuri lazima awe na vigezo vyote 10 au 9 kati ya hivi.
Kama hana hizi juice factor mkimbie mapema.
P.s huu ni Uzi muhimu sana kwa trader's wote, usiache ku retweet tweet ya kwanza.

1. Broker yupo regulated?
Maana yake ana exist kisheria?
Ili kujihakikishia usalama zaidi wa pesa zako, Broker wanakuaga regulated kwenye body zilizo anzishwa kisheri.
Mfano. NFA kwa wingereza na CFTC Kwa America.
Broker ambae yupo regulated sio sahisi kufanya ujinga.

Na hata kama akifanya basi client ana haki ya kumshitaki na akachukuliwa hatua.
Kama una trade na broker's ambao hawapo kwenye authority za kisheria ni rahisi sana kuku fanyia scamm.

2. Demo account kama sehemu ya kujaribia.
Broker mzuri mara nyingi lazima awe na account mbili demo na real account.
Demo account utaitumia kujaribu the way soko linavyo move, price movement, spread na manipulation.
Kama Broker hana demo huyu ni wakumuogopa sana.

3. Spread na swap.
Spread ni tofauti kati ya bid na ask Price.
Some broker's has big spread while others they have tight spread.
Spread zinapokuwa kubwa tatizo ni kwamba utakua unachelewa kuingia kwenye faida.
Na ukiwa kwenye loss unaweza kuwa kwenye loss kubwa zaidi.

Ni vyema sana kuangalia hichi kigezo, sometimes spread zinabadilika na zikibadika kama broker ana spread kubwa utaumia zaidi.
Swap ni charges unazolipa kwa kulaza trade's zako,
Kuna broker Wana charge swap kubwa Sana ukilinganisha na wengine.
Spread na swap ni juice factor.

4. Huduma kwa wateja.
Nakumbuka Broker wangu wa kwanza alikua na customer care ya hovyo sana.
Unaweza mtumia email akajibu kesho tena haeleweki.
Broker nakua na customer care nzuri wakati waku deposit tu ila kwenye ku withdrawal mnaweza msielewane kabisaπ.
Customer care ya

Broker isipo kuridhisha jua huyo mwishoni anaweza kukuliza tu, bora ukafanya research nzuri ukapata broker wa hukaki.
5. Ubora wa ku deposit mtaji na ku Withdrawals faida.
Mwaka 2019 niliwahi kuwi Withdrawals $73 mpka Leo sikuzipata.
Yule broker kwenye ku deposit ni 1 minute tu ila ku withdrawal ana condition ngumu
sana.
Mwisho wa sikua na amani nikaishia kichoma account yangu na sikupata

Pesa yangu mpaka kesho.
Imagine ilikua $72 by then nipo chuo.
Ni vyema kuangalia Broker ambae anaweza kuwa na deposit system rahisi na ku withdrawal k
hakuna limits za kishamba.
Sasa hivi Broker Wengi wana local payment system, kigezo hichi kinatu favour wa bongo sana.

6. Platform za kuingia sokoni.
Kuna trading platform mbili tu, MT4 na MT5.
Broker mzuri anaweza kukupa platform zote au akakupa mt4.
Lakini broker wa mchongo anaweza kukupa mt5 pekee.
For my own experience sijawahi kutumia mt5 ila sio platform nzuri sana kwa trader.

Mt5 ni rahisi sana kwa Brokers ku manipulate price na kukufanyia ujanja ili upoteze pesa na yeye apate faida.
Ni muhimu sana kumchunguza broker wako ni platform gani anatumia kupeleka order zako sokoni.
Na recommend mt4.

7. Currency pair anazo offer broker.
Kuna Broker wana limits za ajabu sana, Kuna baadhi ya pairs hawaziweki kabisa kwenye quotes.
Sometimes anaweza kuzui usiweke order kisa Kuna movement kubwa itakayo kufanya upate profits nzuri.
Broker wa namna hii ni wa mchongo Sana.

8. Kiwango Cha kuanzia na ukomo wa ku withdrawal.
Initial deposit & withdrawal limits.
Brokers kukuambia unaweza kuanza na $1 haimanishi ndio uanze na $1 kuingia sokini.
Ok! Brokers wengi wazuri zaidi watakuwekea at least minimum deposit ya $100+,
Broker anaekuwekea limit.

Ya ku withdrawal pesa zako ni wakumuogopa sana.
Nimekwambia nimepita kwenye changamoto nyingi sana.
Nishawahi ku deposit $500 kwa Broker nikapiga vi profits vya $100+ ki withdrawal minimum ni $1000.
Bro nilitaka kulia maana account nayo ilikua haikua, week profits week loss.

9. History ya kampuni.
Jifunze kwa wengine pia, hasa mentors na trader's wenzako.
Soma comments za Trader kwenye social media zao.
Fanya research kujua historia ya broker.

10. Commission.
Brokers wazuri wataku charge commission stahiki na Broker wa mchongo hakuchaji commission.

Ukimpa rafiki yako samaki atakula siku moja.
Ukimfundisha namna ya kuvua samaki mwenyew atakula samaki maisha yake yote.
Nikikufundisha #BankSetup Fx Strategy utakuwa umejua namna ya kutengeneza Profits mwenyewe.
BankSetup Masterclass kwa Watu 15 serious.

Hii ONLINE Masterclass ya mwisho kwa mwaka 2022 nitafanya seriously kwa watu 15 tu.
Hii ni nafasi yako ya mwisho kusoma strategy yangu kwa cost ndogo kabisa.
Utajifunza nini?
Entry & Exit technics.
Risk Management
Trading mindset.
Utalipia 50k tu.
Ni DM Sasa hivi ku join

@rattibha unroll this thread now
Loading suggestions...