90% ya traders hawajui kucheza na Market Sessions.
Jana wakati tunafanya Analysis na trader mwenzangu nikamuuliza.
Swali; hivi ni Fx Market ipi ina print PIPS nyingi?
Jibu; New York Session.
Mimi; Kwa nini?
Jibu; kwa sababu ya OVERLAP.
Mimi; hujui vizuri LONDON SESSION
๐งต

Baada ya kubisha kidogo nikamabia ngoja nikupe somo la London Session.
Mimi nililipia $100 kupata mentorship ya market sessiona zote.
Ila wewe utajifunza Bure kabisa Leo.
Pia hata wewe unaesoma huu Uzi ukinifatilaia utakuwa umesoma course ya London Session bure.

London Session wengine huita European Session ni soko namba 1 kwa ukubwa.
"The center of Financial Market"
Takribani 43% ya transactions za Foreign Exchange zinafanyika hapa, wakati New York Session ni 17% tu, imagine!
Kihistoria ulaya ndio kitovu cha biashara dunia.

Hii ni kwa sabubu ya miji mkubwa ya kibiashara kama vile Geneva, Frankfort, Zurich, Luxembourg, Pairs, Amsterdam. N.k
Kwa sifa hizi naweza kusema London Session ndio kitovu cha FOREX dunia.
Unataka kujua ni kwa nini?
Kwenye huu Uzi nitakueleza kwa nini London ndio soko No.1

Kwenye huu Uzi jiandae kuilewa hii Session kwenye haya maeneo.
1| Kufunguka na kufungua kwa London Session.
2| Pair nzuri za ku trade.
3| Muda mzuri wa ku trade London
4| Sifa 5 za London Session ili ujue utajianda vipi na kuli face soko.
5| Pip ngapi unaweza kupata London open.

1. Kufunguka na kufungua kwa London Session.
London session inafunguka saa 11:00Am na kufunga 06:00PM kwa muda wa East Africa.
Huu ni muda muzuri sana kwa Trader's wa Tz,Kenya na Uganda kwa sabubu Session inafunguka kwetu ikiwa ni machana na sio usiku kama nchi zingine.

Lisaa la kwanza la hii Session sio zuri kwa day trader kwa sababu huwa market makers wanafanya Manipulation.
Manipulation ni kitendo Cha price kuhama direction (Stop hunt)
Muda mchache baada ya manipulation price inaendelea upanda wake around saa 6/7 mchana.

2. Pairs nzuri za ku trade wakati wa London Session.
EUR, GBP na CHF ndio currency zinazo dominate hii Session.
hivyo pairs nzuri kwa muda huu ni EURJPY, GBPJPY, CHFJPY, USDCHF, EURUSD, GBPUSD.
Ukishajua upo kwenye London open ni bora kuchagua 1 kati ya hizi pairs,

3. Muda mzuri wa ku Trade London Session.
Moja kati ya Session ninazozielewa vizuri sana ni London Session.
Kwa utafiti wangu hii Session ndio inachoma sana account za traders, market makers huwa wapo site.
Kabla ya Kufunguka London, Tokyo session ndio huwa inamuachia London

Na tabia ya Tokyo huwa ni consolidation, inapofungua London market makers wanatumia lisaa la kwanza ku track trader into opposite direction/manipulation/stop hunt.
Muda mzuri ni upi?
Ok!
Muda mzuri ni baada ya lisaa la kwanza yaani 11:00AM - 12:30AM, then unaweza kuingia

Sokoni kwa kufata system yako.
Kosa kubwa utafanya kama uta trade against hawa market makers.
Kwa waliojoin kwenye BankSetup Masterclass zangu wanaelewa sana kuhusu hizi session na market makers kuwa site.
Kama bado ujasoma BankSetup na unahitaji kusoma ni DM Sasa hivi.

Sifa 5 za London Session ili ujue utajianda vipi ku face soko kwa confidence.
Ukiziekewa vizuri London Session utakuwa ni expert mzuri sana wa Landon session hasa Kwenye hizi pairs za EURJPY na GBPJPY.

Sifa No.1
High volatility & liquidity.
movement kwenye hii session ni kubwa sana kutokana na overlap ya masoko mawili (Asia na New York Session).
Hii ndio sababu kuwa soko No 1 yani overlap ya masoko ma 3, Tokyo, London na New York Sessions.
Kuna movement ya Pips 100+

Sifa No.2
Manipulation/ stop hunt.
Nikifanya uchunuzi kwa from my own 4 years of trading ni kagundua nimechoka account nyingi sana wakati wa London Open sikuabnaujua ndio session watumia market makers kuwinda traders wadogo.
Hakuna mtu anaewinda stop loss yako isipokua

hujui kucheza na market makers.
Market makers ndio wana control soko 90%, order zao ni kubwa sana kiasi kwamba wanaweza kufanya soko likaenda upande wao.
Ili waweze kuweka order zao lazima wakombe order zinazozubaa njiani ili wakusanye Pips zakutosha.
Hii ndio Manipulation

Sifa No. 3
Movement kubwa na TREND ndio inaanza kujitengeneza kwenye London open.
Baada ya manipulation lisaa la kwanza market makers wana push price upande wao, na ndio trend inaanza.
Kwa trend followers kama mimi London Session ni nzuri ku catch big movement.

Sifa No. 4
Price huwa inatabia ya ku reverse wakati session inaelekea kufunga.
Kwa Day trader's ni vyema kuchukua profits saa li 1 kabla ya London close ambapo ni saa 05:00 jioni.

Sifa No. 5
Broker wanatumia London session kutengeneza profits zao pia wanachofanya wanaongeza SPREAD.
kama una experience na soko la Fx utakubaliana na mimi kuwa muda huu spread zinakuwa kubwa sana hasa kwa Pairs nilizosema hapo juu.
Kwa wenye mtaji mdogo ni hatari.

Market Sessions ni sehemu ya Somo kwenye Madara yangu;
-Trading course for newbie.
-BankSetup technical Analysis.
-Mentorship program.
Kama umeupenda huu Uzi nakuomba urudi juu Kisha retweet tweet ya kwanza.
Nikutakie weekend njema.
Enjoy!

Loading suggestions...