Juzi 1$ ilikua sawa na 150 Yen sawasawa na ilivyotokea 1990
.
Kwanini imetokea hvyo?
.
Imetokea hvyo kwasababu ya utofauti wa policies kati ya nchi mbili
Us πΊπΈ wao wanaongeza interest rate kila mara na hapa November wanataka waongeze hadi ifike 0.45%

Japana wanapunguza interest rate ili kuwe na circulation kubwa ya hela ili economic activities.
.
Wote wanajarb kujiweka sawa baada ya issues za Covid-19
.
Shida Japan wao walikua wanafavor performance ya ndani zaidi na ikawafanya ya nje iwaponyoke kwa maana ya depreciation

Naposema depreciation naamanisha kushuka kwa thamani ya currency husika ukilinganisha na currency zingine
.
Tuendelee...
.
Lawmakers wa Chama pinzani wanlimtaka Governor wa Japan, Haruchiko Kuroda kustep down kwasababu wanaona kama wanasababisha uchumi wa Japan kushuka

Tuelewe kushuka kwa thamani ya Japanese Yen kuna effect gani kwa wananchi wa kawaida.?
.
Ipo hivii kama currency yako hain thamani ukilinganisha na currency zingine basi vitu unavyofanya importation vinakua gharama sana na utaona vitu vinapanda gharama kama vile vyakula na energy

Kabla sijakwambia nini reaction ya Japan ngoja nikugusie kidog ya kilichotokea 1990
.
Mwaka 1990 Japan kilitokea kitu kimoja kinaitwa "Lost Decades" kwasababu ilichukua miaka 10, 1986-1990. Kilitokea "assets price bubbles" yaani stocks na real estates zilikua juu (inflated)

Na burst yake ikaja kutokea 1990 April ambapo wajapan walitakiwa wawe na Yen 159.8 ili kuipata dollar 1 na December 1986 mambo yakawa mabaya zaidi kwani ikitakiwa uwe na Yen 160 ili upate dollar 1
.
Hadi hapa I think nimewajib watu wengi waliokua wananiluiza why YEN ilidrop sana

So Japan wanafanya nn?
Japan Prime Minister kasema hawatoona aibu kufanya intrervation ili kuinusuru Yen
.
Kwahyo wameamua kuubeba msalaba wao uliotokana na Monetary Easing
.
Naposema monetary easing namaanisha ni policy yoyote ambayo itapelekea kuongeza mzunguko wa hela

Wameamua kuinunua currency yao wenyewe!
.
Confused ???
Wait...
.
Nchi nyingi zinakua zina'assets ambazo zipi nchi zingine mfano bonds, gold na hata currency yao.
.
Hiyo inasaidia kulipa madeni kipindi ambacho kuna currency crisis, kufanya import balance na kufanya intervention

Intervention zenyew ndo kama ambayoo hiyo ambayo Japan wanataka kuifanya..
.
So wataziuza hizo assets ikiwemo their currency na kuuza dollar ipande thaman kwasab kama kuna supply ndog kunakua kuna ongezeka price
.
Hapo wadau nnaopiga nao October class watakua wananielewa vizur

Ntakua nna class kama November nna seat kumi tu.
.
Ok tuendelee...
.
So wakifanya hvyo yen itaweza ikapanda. Lakini kwa sasa ni kama kile mnachokioana
.
Kuongezea tu kile kipindi Talibams wamechukua nchi ya Afghanistan kama ukifatilia vizuri kuna accounts za zilikua nje ambzo..

Ambazo walikua wanahitaji kweli wawe wana access nazo. Na hizo accounts zilikua zina assets za nchi yao
.
Ps. Hii ni top 5 ya nchi ambazo zina foreign reserves kubwa kuliko nchi zingine
1. China 2. Japan 3. Eurozone 4. Switzerland 5. Taiwan
Verification problems? Just dm

Loading suggestions...