15 Tweets 79 reads Apr 08, 2023
SITE 10 BORA ZA KUPAKUA MOVIES NA SERIES BURE KWA KUTUMIA SMARTPHONE YAKO!
#Uzi
Kupata movie/series unayoitaka ni uhakika πŸ’―
Twende kazi πŸ‘‡πŸ»
1. Netnaija
~Unapata series/movie ikiwa na Mb chache pamoja na quality nzuri.
~ndani ya site unaweza kupakua subtitles.
2. Medeberiyaa
~Inakupa option ya kupakua series/movies katika quality unatoitaka (480p, 720p na 1080).
~Kwa baadhi ya browser unaweza kutazama online (UC Browser).
3. Today TV Series
~Zinapatikana series pekeyake
~Unapata series ikiwa na Mb chache pamoja na quality nzuri (480p).
~Ndani ya site unaweza kupakua subtitles.
~Files za series zinakuja katika mfumo wa Rar, hivyo ni muhimu kuwa na app ya Rar ili uweze ku-extract hizo files.
4. Yts Tv Movies
~Quality 480p, 720p, 1080p 2160p/4k & 3D.
~Inahitaji Torrent kupakua movies/series.
~Muhimu kutumua VPN.
5. Nkiri
~Unapata movie/series zikiwa na quality ya 480p na 720p.
~Mb chache pamoja na quality nzuri.
~Movies/Series za Kikorea zinapatikana kwa wingi.
6. 1377x
~Inahitaji Torrent kupakua movie. (Kupitia Uc Browser unaweza kupakua bila Torrent app).
~Muhimu kutumua VPN.
7. Movie Mora
~movies na series zinapzatikana na quality nzuri.
~Pia unaweza kutazama online bure ikiwa HD.
8. Nolly Verse
~inakupa list ya mafaili ya series/movies katika mpangilio wa alfabeti.
~Ukiingia kwenye website nenda chini kabisa utakuta options za kuchangua kama unataka series, movies n.k
9. Index of TV Series & Index of Movies
~Zinakupa list za series/movies katika mpangilio wa alfabeti (A-Z).
~Ukitaka kupakua unagusa jina la series/movie (just one click).
~Kwa baadhi ya browser unaweza kutazama online, mf. UC Browser.
~Zinapatikana katika quality mbalimbali.
10. Bee Tv & Tea Tv
~Hizi ni application zinazopatikana kwenye simu za adroid tu lakini hazipatikani Playstore.
~Ukitaka kupakua nenda google andika β€œBee Tv apk” au β€œTea Tv apk” kisha upakue file na ku-istall katika simu yako.
~Kupitia application hizi unaweza kutazama...πŸ‘‡
Movie/Series ndani ya app na unapata option ya kuweka subtitles .
~Quality yeyote unaipata (360p, 480p, 720p na 1080p).
~baadhi ya movie/series unweza kupakua hapohapo kwenye app ila kuna baadhi zinahitaji external app.
~Unaweza kupakua kwa kutumia external app kama...πŸ‘‡πŸ»
β€œADM” na β€œOne Download” (Zote zinapa
tikana Playstore).
Kama kuna site nyengine unayoifahamu weka chini hapo kwenye Comment.
πŸ“Œ Usisahau ku-like, Comment na ku-retweet
*One downloader

Loading suggestions...