3. Disgust
Hii inapelekea kukosa kwa confidence ukiwa kwenye market kwasababu ya kukosa discipline kwenye market na kuanza kujiona you are terrible trader
.
Follow your plan, follow your system, follow your rules

5. Sadness
Hii inatokea pale ambapo traders wanapiga loss kubwa na sometimes kupunguza capital yao.
.
Hii inaeza pelekea traders kupata ugumu kuchukua trades zingine au hata sometimes kushindwa ku'cut loss
.
Hapa ndo utasikia " Na'trade ila sio full time"
.
Be consistent

6. Surprise
Hii inasababisha watu kufanya maamuzi anbayo si logical na market ikienda ndivyo sivyo utakuta mtu anaiacha trading plan then anatrade anavyojua yeye.
.
7. Anxiety
Hii inatokea pale ambapo stress imezidi sasa. Traders wengi wanakua exhausted na wanashindwa kuendelea

8. Apathetic
Hapa mtu ankosa interest na trading kabisa. Anafuta mt4/mt5 na hataki kujihusisha na trading kabisa
.
Mzee trading ni kazi ambayo inahtaji energy kubwa na passion otherwise utaona kama unaonewa

9. Love โค
Kama unatrade kwasababu unaipenda ni swla la muda tu kuanza kua profitable trader.
.
Ila kama unaipenda trading kwasababu zingine kama vile kupata utajiri wa haraka...my friend umeumia
.
Trading is not GET RICH QUICK SCHEME kama Kalyinda

10. Depression
Hii ni level mbaya zaidi ya stress na hii ni baada ya anxiety.
.
Unaweza kuwa na come back financially lakini sio rahis kuwa na comeback ya emotional ruin
.
Epuka kwa namna yeyote ile hii...kama uko kwenye depression...get a mentor, physiologist anweza kusaidia

11. Pride
Hii inapelekea utrades sana na pia ku'risk kias kikubwa cha bucks, kutotoka sokoni mapema pale ambapo uko kwenye loss na kutaka kujiona wewe uko sahihi every time.
.
Mzee ni swala la muda tu marker will HUMBLE you

12. Shame
Hii inapelekea sometimes inakua ni vigumu kuongea na watu wengine kuhus trading yako na hata kuifungua account yako kwasababu tu umepiga loss za kutosha
.
Usichojua ni kwamba loss ni phase ambayo every profitable trader amepitia.
.
So usiwe na aibu

13. Envy
Wivu, husudaaaa....!
Just subiri na enjoy the process....Ipo siku ambayo na ww utapata profit kama za huyo au zaidi yake...huyo unayemuonea wivu
.
Mara nyingi hii inakutoa relin unaanza kufikiriq vitu vingine kabisa ambavyo hata havihusian na trading..Tz ipo sana hii

14. Contempt
Kulidharau market au traders wengine itakupelekea kufanya maamuzi mabya kwenye market.
.
Watu wengi wanataka kua gods of trading na kuonyesha umwamba hadi amdharau mtu mwengine...mzee that's not trading.
Retweet!

Loading suggestions...