[SIRI⚠️] Jinsi Belinda Alivyoweza Kubadilisha maisha ya Wanafunzi wake kwa kutumia mbinu hii ya SIRI
...Ambayo hata Wewe Unaweza kuitumia kubadilisha maisha yako pamoja na ya Wale Unaowajali
<<THREAD>>

Alikuwepo mwanamke mmoja mwenye busara and ofcourse alikuwa na moyo mzuri.
Alibahatika kuwa na mtoto mmoja,na alimpenda sana binti yake
Siku moja mida ya usiku aliporudi kutoka kazini ambako alikuwa na siku mbaya kupita kiasi, alikuwa amechoka sana,
Mbaya zaidi ni kuwa,

Stress za kazini zilimsababishia maumivu ya kichwa kuliko kawaida
Kitu pekee alichohitaji kwa wakati ule ni utulivu na ukimya, ila alimkuta binti yake anaimba na kuruka kwa furaha sana ile siku
Hakuweza hata kujua jinsi mama yake alikuwa anajisikia,

Alikuwa kwenye dunia yake mwenyewe
Kama kawaida akaendelea zake kuimba,
huku furaha nayo ikizidi kuongezeka,
aliruka huku akiimba kwa sauti kubwa zaidi kuonesha hisia na upendo alionao
Aliimba kwa sauti ya juu iliyofanya mama yake ahisi kuumwa kichwa mara mbili zaidi,

Ilifika wakati mama yake akashindwa kabisa kuvumilia.
Kwa hasira akamtizama binti yake mrembo machoni,
Akamwambia
"Hebu Funga hilo bakuli lako! Una sauti mbaya kama nini.. Can you just Shut up"
Ukweli ni kuwa
Yule mama hakuweza kuvumilia kelele za aina yoyote ile,

Ila haikumaanisha kuwa sauti ya binti yake haikuwa nzuri...
Mbaya zaidi ni kuwa yule binti aliamini maneno aliyoyasema mama yake
Na pale pale aliacha kuimba...
Ile furaha yote aliyokuwa nayo iliyeyuka pale pale
Kwanzia ile siku yule binti hakuwahi tena kuimba,

Binti aliamini sauti yake ni mbaya na ingemkera yeyote yule aliyeisikia
Ilichangia azidi kuwa na aibu shuleni
Rafiki zake walipomfwata na kumuomba awaimbie, alikataa
Ilifika hatua kuongea na wenzake ikawa tatizo,yote ni kwasababu ya maneno aliyotamkiwa na mama yake mzazi.

Siku moja shuleni kwenye kipindi cha Hisabati
Mwalimu aliamuru kila mwanafunzi aandike List ya majina ya wanafunzi wengine wote waliopo pale darasani kwenye karatasi,
Akawaambia
"Fikiria kitu 1 kizuri kuhusu kila jina kwenye hiyo list na ukiandike mbele ya jina la huyo mtu"

Iligharimu muda wote ule wa kipindi uliokuwa umebaki kwa hilo zoezi kukamilika...
Baada ya zoezi kumalizika kila mmoja alikusanya list yake pale mbele kabla ya kutoka

Jumamosi, yule madam aliandika jina la kila mwanafunzi kwenye karatasi yake binafsi,
Chini yake aliandika zile comment zote zilizoandikwa na wenzake kumhusu
Jumatatu ilipofika, mwalimu alimpatia kila mwanafunzi Karatasi yenye jina lake na list ya compliments kutoka kwa wenzake

Ndani ya dakika chache sana
Kila mmoja pale darasani alikuwa anatabasamu
"Oh Really?"
alisikia baadhi wakinong'onezana
"sikuwahi fikiri kama naweza kuwa na thamani kiasi hiki kwa mtu yoyote"
Mwingine alisema "hivi kumbe hata na mimi kuna ambao wanajali kunihusu..?"

Hakuna hata mmoja aliyeziongelea zile karatasi baada ya pale,
Mwalimu pia hakujua kama waliwahi kuzijadili au kuwaonyesha wazazi wao nyumbani ila bado haikuharibu chochote
Lile zoezi tayari lilishafanikisha dhumuni lake
Kila mwanafunzi alifurahi kwaajili yake na wenzake

Baada ya muda lile darasa lilitawanyika baada ya kumaliza shule
Miaka kadhaa mbeleni, mmoja kati ya wale wanafunzi aliuawa vitani,
Madam alihudhuria mazishi ya yule mwanafunzi...
Hakuwahi kuona mwili wa mwanajeshi ndani ya sanduku la kuhifadia mwili

Alikuwa ni kijana handsome, and ofcourse alikuwa mkubwa tofauti na miaka iliyopita.
Wengi kati ya waliokuwepo pale kanisani ni marafiki zake na kijana aliyeuawa.
Madam ndiye alikuwa wamwisho kutoa heshima za mwisho.

Wakati amesimama pale, mwanajeshi mmoja kati ya wale waliobeba mwili alimfwata
" Ni wewe ndiye uliyekuwa mwalimu wake Mark wa hesabu?"
Aliuliza huku akimtizama madam usoni..
Yule madam alitikisa kichwa kuonyesha ishara ya kukubali
"Ndio, ni mimi"
👇🏽

Mwanajeshi akaendelea kwa kusema
"Mark alipenda sana kukutaja kwenye mazungumzo yake"
Baada ya mazishi,watu wote walikusanyika kwaajili ya chakula
Wengi wakiwa ni marafiki zake Mark aliosoma nao
Baba na Mama yake Mark nao walikuwepo pale, walikuwa wanasubiri kuongea na madam

"nataka kukuonyesha kitu" alisema baba yake Mark, wakati akiendelea kutoa Wallet yake mfukoni
"wanajeshi wenzake waliikuta hii mfukoni kwa Mark alipouawa. Nafikiri unaweza kuitambua"
Akafungua zipu kwenye wallet yake, kwa makini akachomoa karatasi mbili za note book

zilikuwa chakavu kuashiria zilikuwa zinakunjuliwa na kukunjwa mara kwa mara..
Bila hata kutizama kilichokuwemo ndani ya zile karatasi,
Madam Belinda alishafahamu kuwa ni zile karatasi alizoandika comment zote nzuri ambazo rafiki zake Mark waliwahi kuandika kumhusu.

"Tunashukuru sana kwa kufanya hivi"
alisema mama yake Mark,
"kama unavyoona, Mark alithamini huu ujumbe kukiko kawaida"
Ghafla, rafiki zake Mark kila mmoja aligeuka kumtizama aliyepo pembeni yake
Leah ndiye alikuwa wakwanza kuonyesha tabasamu usoni

"mimi pia list yangu ninayo mpaka leo, nimeihifadhi kabatini kwangu"
Mke wa Alvin naye akasema 'Alvin aliomba nihifadhi yakwake kwenye album ya harusi yetu"..
"Ninayo yakwangu pia" Marilyn naye aliendelea kuelezea "..nimeihifadhi kwenye Diary yangu nyumbani"

Baadae Vicki,
Binti aliyewahi kuambiwa na mama yake mzazi kuwa ana sauti mbaya,
Alifungua pochi yake, kwenye diary yake ilikuwepo list yake yenye maneno mazuri kumhusu ambayo aliwaonyesha wenzake
"Natembea nayo kila wakati, kila mahali ninapokwenda"

aliongea huku macho yake yakiashiria kuanza kutoka machozi...
"nafikiri kila mmoja ana list yake, na ni vizuri kama wote tutaendelea kuzihifadhi"
Na hapo ndipo madam Belinda alishindwa kabisa kuvumilia, alikaa chini, machoni machozi yakimtoka...

Alimlilia Mark, pamoja na rafiki zake ambao hawatomuona tena..
So hata na wewe unapopata nafasi usiache kuwaambia watu wako wa thamani kuwa unawapenda
Waambie kuwa unawajali..
Waambie They are special..
Waambie They are Amazing..

Muhimu zaidi wajulishe kuwa unajali na pia unathamini nafasi waliyonayo kwenye maisha yako..
Waambie Leo kabla Muda haujakutupa mkono..

Anyways mpaka I hope kuna kitu umekipata,
Najua ni weekend sitaki nikuchoshe,
May your day be blessed and as special as you are!
Thank you for Reading🙏🏼
I Adore you ♡
Ciao👋
©️Pleasure Me
P.s⚠️ Retweet!

Loading suggestions...