Hapo zamani kidogo tulikuwa tunaamini kwamba, ukiwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na ukifanikiwa kulala na mwanamke wako ni ngumu kwake kukuacha
Kwasababu tulitumia advantage (udhaifu) wa kumkula Kama silaha ya kutulia nawe,
Mnapokutana kimwili mnazikutanisha roho zenu na kuzifanya kuwa kitu kimoja
Mnaikutanisha miili yenu na kuifanya kuwa pamoja Mnazikutanisha tupu zenu ili kukutana kuwa kitu kimoja Mnazikutanisha jasho zenu kuwa kitu kimoja
Ni wazi tendo pekee inatosha kubadirishana(ku-share) vitu vingi kupitia miili yenu, kadri unavyozidi kubadirisha watu, ndivyo hivyo unavyozidi kuchukua vitu vya watu
Dunia ya sasa mambo yamebadirika ile Imani yetu ya "kulala nae hawezi kukuacha" kwasababu una advantage, skuizi haipo ivo kakiamua kukuacha unaachwa tu saa yoyote
Hii ni kwasababu inaletwa na matabaka ya makundi ya watu tofauti tofauti
✓Natafuta Mapenzi
✓Mmoja anatosha
Natafuta Mapenzi, hii ni aina ya watu ambao wanafanya mapenzi Kama starehe kwao, yupo kwako ili umfikishe "Fvck Hard Like No Other"
Atakapohitaji umpatie, anywhere, everywhere na anataka akuone mpya kila mnapokutana nae, kila siku ufundi mpya, style mpya, mipapaso mipya
Na usipompa Kama unavyompa siku zote au kakuona umeanza kuwa mdhaifu anakuacha, kundi la watu wa aina hii kuacha kwao sio shida zao kwasababu wapo kimaslahi kwako
Mmoja anatosha, hii ni aina ya watu wenye nia njema na Mapenzi anaweza kuwa anahitaji mtu sahihi kwake, mtu ambae anahisi atajenga future nae, familia nae
Ila mara nyingi wanaishia kuumizwa kwasababu wanakutana na watu ambao si sahihi kwao kwa wakati huo, mara nyingi watu wa namna hii hukutana na watu wa "natafuta Mapenzi"
Anavyozidi kuumizwa anapoteza Imani ya Mapenzi, anapoteza ule moyo wa kupenda Kwa dhati, taratibu anaanza kujitengenezea mazingira ya "Mapenzi yanawatu wao"
Anaweza kubahatika kukutana na mtu sahihi kwake, ila ikitokea kutokuelewana basi anahisi kuachwa, na watu hawa huingia kwenye lile kundi la "Hit and Run" ukimpata mtoto unakula unapita hivi
Hayo ni matabaka machache ambayo huongeza kasi ya kubadirisha sample tofauti tofauti
Dear Young Generation: Sample haziishi ila wewe ndo unaisha