Kama mapenzi yangekuwa ni mtu ukikutana na mwenye kitambi ungesema haya mapenzi yana afya yatadumu, Kama ungekutana na mwembamba ungesema haya mapenzi hayadumu sioni yakitoboa December
Ni ndoto ya Kila mtu kuwa na mapenzi yenye Afya, mapenzi ambayo yanakila sababu ya kudumu milele na milele, kwani hayawezi kutetereshwa na yoyote
Kwenye suala la mapenzi Kuna Maisha ya aina mbili
✓Maisha ya mahusiano(ndoa)
✓Maisha ya Sex
Maisha ya mahusiano (ndoa), Ni mfumo mzima na mpangilio wa mipango ya maisha yanayojengwa na wenza wenyewe. Hii hujumuisha namna gani wataendesha maisha yao(Life style)
Aina hii ya maisha ili yaweze kuishi yanahitaji wenza ambao mnaongea lugha moja, lugha ya kuzikutanisha hisia zenu, lugha ya kuikutanisha mioyo yenu, lugha ya kuzikutanisha nafsi zenu
Hii itawafanya
Kila mmoja wenu kuwa na huruma na mwenzie,
Kila mmoja wenu akihisi kakosea atashuka ili mmalize tofauti zenu,
Kila mmoja wenu atakuwa mchunga Kwa mwenzie
Kila mmoja wenu atakuwa Msikilizaji Kwa mwenzie, sababu zote hizi zitawafanya kuzikutanisha hisia zenu, na kuwa na kiu baina yenu na kupunguza kuchokana kwenu
Maisha ya mahusiano yakiwa mazuri, hata afya zenu za akili zitakuwa nzuri, Afya ya Mahusiano yenu yatakuwa mazuri pia
Maisha ya sex, Ni mfumo mzima wa maisha ya kuridhishana hii huanzia akilini, namna ya Wewe utaweza kuiteka akili yake. Haimanishi ili uwe na Maisha mazuri ya sex lazima kila siku kuridhishana, Hapana
Kuna ile unapiga kimoja tu ila cha ushindi mwingi kamoyo kake kanaridhika. Unaweza ukawa ufundi wa mwanamke kumridhisha mwanaume, au ufundi wa mwanaume kumridhisha mwanamke ila raha yake wote ni mridhishane
Kila Mmoja anapaswa kufahamu namna ya kumfanya mwenza wake aridhike, hii ni kwa kumuandaa vizuri ukianzia akili yake na kumpatia tendo pia vizuri
Kuna viashiria vingi vya kufahamu mwenza karidhika, hasa hii ni kwa mwanamke. Wengine hutetemeka miguu, Wengine hukunja vidole vya miguu, Wengine hukojoa(squirt), Wengine husema "nimeridhika"
Maisha ya Mahusiano (ya ndoa) Kama yasipokuwa mazuri ni rahisi kuharibu na Maisha ya sex, kwasababu hamtakuwa na maelewano mazuri, hamuongei lugha moja, kama mnavuojua raha ya sex ni makubaliano
Na maisha ya sex yanayategemea maisha ya mahusiano ili sex iwe nzuri basi mahusiano yawe mazuri. Jitahidi kubalance mahusiano
Dear Young Generation: Ni jukumu lenu kuyajenga mahusiano yenu