S W A D A K T A.
S W A D A K T A.

@swadakta_

5 Tweets 3 reads Dec 29, 2022
Wachache hutumia MUDA wao kukaa chini na familia zao, wenza wao, na kuzungumza pamoja nao, licha ya kuwa busy na kazi na kupambania ndoto zao basi muda unakuwa mdogo. Unarudi umechoka unaamka umechoka pakikucha kazini
Ewe kaka, Dada, Baba, Mama tumia Muda huu, weekend hii kaa na mwenza wako ongea nae, kuwa rafiki kwake Muulize changamoto zake, Yasikilize mawazo yake, Fikra zake, Ndoto zake, Mipango yake
Hii itawafanya kutengeneza bond nzuri kati yenu na kudumisha zaidi uhusiano wenu, hakuna kitu kizuri Kama kupata mtu anaekusikiliza ni bahati wachache wamebahatika
Na Leo badala ya kwenda Bar, Club na rafiki zako Leo toka na mwenza wako mfurahie. Itawasaidia kupunguza vinyongo na makasiriko mioyoni kwenu
Na mkirudi, mwenzio usimbanie weekend yake mmalizie. Muoneshe ulivyobarikiwa Dear Young Generation kanuni yetu ni ile ile

Loading suggestions...