"Utakula Kutokana na ulichokivuna ridhika na mavuno yako usitamani vikubwa mwanangu anza kwanza na vidogo Mungu atakusaidia"
Hii ni simu Yangu ya Kwanza kwa siku ya Leo ilionipa matumaini. I Love This Womanβ₯οΈ
Wote tumezaliwa na Mama Bora M/Mungu awatunze Mama zetu kwa niaba yetu pia awarehemu Mama zetu waliotangulia mbele ya HakiποΈ
Huu ujumbe ni wetu soteπ«
Huu ujumbe ni wetu soteπ«
Loading suggestions...