S W A D A K T A.
S W A D A K T A.

@swadakta_

19 Tweets 11 reads Dec 25, 2022
MEN'S SEXUAL ENERGY
#______UZI
Hakuna kitu kizuri Kama kuwa na Afya bora waswahili husema "Afya ni mtaji" wakimaanisha Afya ndio utajiri wako, ukiwa na Afya bora hata shughuli zako utaziendesha Kwenye ubora wake
Ni sawa na biashara, ili uweze kusimama imara inahitaji uwe na mtaji imara, mtaji wako Ndio mzizi wako, na Kwa binadamu kadhalika ni hivyo hivyo, Afya yako ndio mtaji wako, ndio utajiri wako
Afya ya mwanaume ni rahisi kudhoofika kwasababu Maisha yake ni yenye kuhangaika, ameyatoa sadaka ili kuwalinda wanaomuona Kama shujaa wao, kila kitu humuangalia yeye, Familia, Biashara, na kadha kadhalika
Na ili aweze kuwa imara anahitaji kuwa na Afya bora, na Afya bora haiji yenyewe inahitaji uipambanie, hii itakusaidia pia kuepukana na magonjwa nyemelezi
Hata kutokumridhisha mwenza nao ni ugonjwa pia, hii huleta aibu hasa unapopigiwa, ukweli ni kwamba hakuna mwanaume anapenda kupigiwa mwenza wake, hii yote ni kutokana na Afya si imara na kushindwa kuhimili tendo
Unatamani kwenda Gym ila pesa hakuna, unatamani kula mlo mzuri ila kipato hakiruhusu, unatamani kumridhisha mwenza wako usikie "Asante mpenzi Kwa penzi lako" ila Afya hiyo huna
Licha ya kuwa na kipato si rafiki, Leo tuangazie baadi ya zoezi ambazo zitaweza kuimarisha afya yako, Unaweza kufanyia nyumbani, na taratibu litakuwa zoezi lako endelevu la siku zote, na anaweza kufanya mtu yoyote
Kimbia, tumia walau dakika 30 mpaka saa 1 kukimbia, wingi wa KM unategemea na speed ya hatua zako (pace), ila Unaweza kuanza taratibu KM sio suala kubwa
Faida zake: Itakuongezea kuwa na pumzi ya kutosha hii ikiwa sambamba na Kwenye tendo, kwani ili uweze kuhimili inahitaji uwe na pumzi ya kutosha, Kwa maana nyingine uwe na mapafu ya mbwa, usichoke mapema ili mchezo usiwe mgumu Kwako
Pili itasaidia kupunguza wingi wa mafuta kwenye mirija ya damu ambayo ni kizuizi kwa damu kushindwa kuflow vizuri kufika sehemu za mwili, itaongeza njia kutanuka na damu kuflow vizuri kwani ili Uume uweze kusimama imara unahitaji kupokea damu ya kutosha
Kama ndo unaanza ramsi na unataka matokeo ya haraka, unaweza kukimbia kwa muda wa siku tano mfululizo, Kisha kupumzika siku mbili, na kuendelea utafanya walau kwa wiki mara tatu au mbili
Jumping Jacks, Ruka juu kisha tanua miguu yako na kuirusha mikono Yako, kisha ifunge miguu yako na kushusha mikono Yako, ili upate balance usianguke na utarudia zoezi hilo walau mara 50 mpaka 100 au na zaidi
Utarudia tena na tena Kwa kuruka, Lengo la kurusha na mikono ni kupata balance ili usihame kwenye nafasi Yako, na usiweze kuanguka pia na kusababisha majeraha
Faida: Utajitengenezea pumzi ya kutosha Kadri unavyoruka ndivyo unazidi kutengeneza pumzi Yako
Pili kufungua mirija ya damu Kwa kupunguza kiwango Cha mafuta kinachozuia flow ya damu kufika maeneo ya mwilini
Kegels, Lala Chali kisha kunja miguu yako iwe usawa wa makalio Yako, na nyoosha mikono Yako usawa wa miguu yako, na kivute kiuno chako kutoka chini kupanda juu
Kisha kishushe kutoka juu kushuka chini, utarudia zoezi hilo walau mara 50 mpaka 100 au zaidi kadri uwezavyo
Faida zaidi: Hujenga uimara wa misuli ya mapajani, uti wa mgongo na kiunoni, hii itakufanya uhimili tendo hasa ukiwa kwenye mkao wa "on top" kwani utakuwa na stamina na balance ya kutosha
Unaipigia za chini chini
Dear Young Generation: Afya yako ndio mtaji wako wa kudumisha mahusiano yako

Loading suggestions...