CUSTOMER CARE, a new marketing...📌
Hakikisha biashara yako ina mpango kazi wa kuhakikisha wateja wanafurahia huduma.
Wekeza kwa wateja wachache watakuletea wengi.
Kuna maajabu makubwa kwenye WORD OF MOUTH.
Wajali na wateja wako. Watakuletea wengi zaidi.

Hakikisha unawekeza kwenye customer care kwa kutoa huduma bora zaidi ili kuvutia wateja wengi.
CUSTOMER HAPPINESS ni aina mpya ya marketing.
Ukiwafurahisha wateja watarudi tena na tena, na watakuletea wengine.

REFARRALS zitamiminika zaidi ukiwekeza kwenye FURAHA ya wateja wako.
Wateja hawajali, unapata faida au la – Wao wanataka kuona wanafaidika tu... @NyandaAmosi atathibitisha hili.

Kadri unavyoelewa hisia, matamanio na motive ya wateja wako ndio unajiweka kwenye nafasi ya kuwapa huduma bora zaidi.
Mteja akinunua kitu. Fatilia kuona inamsaidiaje ili kuhakikisha anarudi.

Loading suggestions...