NYOTA YA SAMAKI(PISCES)
Hii ni nyota ya 12 katika mlolongo wa nyota 12. Nyota hii ni kwa watu waliozaliwa kati ya Tarehe 20 Februari na Machi 20.
Asili yao ni Maji.Sayari yao ni Neptune
Siku yao ya Bahati ni Alhamisi, Namba yao ya Bahati ni 8.

Rangi zao ni Bluu iliyochanganyika na Kijani na Aqua Rangi zinazowapa uwezo wa Mapenzi, Mahaba na Furaha ya kujumuika na watu ni rangi za Udongo, Njano na Njano-machungwa.
Kito (Jiwe) ni Almasi Nyeupe. Madini yao ni Bati. Manukato yao ni Yungiyungi (Lotus).

Ubora unaohitajika kusawazisha mambo ni kuwa wenye uwezo wa kushikilia muundo na hali.
Maadili yao ni Uwezo mkubwa wa Kuhisi, Kujitoa Mhanga, Kuishi na Kutenda kwa ajili ya Manufaa ya Wengine, Uungwana, Utu, Ubinadamu, na Ubingwa wa Maono.

Matakwa yao ni Mwanga wa Kiroho, Uhuru na Haki ya kujiamulia la kufanya.
Tabia za kujiepusha nazo ni Tabia ya Ukwepaji wa Matatizo na mambo, Kununa, Kususa, Kunung’unika pasipokuwa na sababu ya Msingi, na Kuwa na Marafiki Wabaya.
Samaki wana wana kipaji cha kufikiria jambo na

kuliunda na likawa vile walivyotaka wao visionary.
Watu wenye nyota ya Samaki ni wenye huruma, wapole na wenye moyo mzuri, hawawezi kukubali kumuona binaadamu mwingine akipata taabu au uchungu. Kwa hakika ni watu ambao wana hisia kali kwa wengine,

hawajipendelei na wako tayari wakati wowote kujitoa mhanga ili watu wanufaike, mapenzi yao au huruma kwa binaadamu wengine hayana masharti yeyote.
Nafsi zao zimegawanyika katika nafsi ndogo ndogo kama vile muathiriwa mwenye kujitoa mhanga, mwokozi, na mkombozi.

Hayo yote yaliyotajwa wanaweza kuyatekeleza inapohitajiwa na akishatumbukia katika moja ya mambo hayo huwezi kumtoa.
Kwa ujumla nafsi za Samaki siyo za kidunia, ni watu wabunifu na wenye ndoto za kufikiri mambo ya baadaye na katika maisha yao, wanaona raha sana kuwa na mawazo

ambayo yatawaepusha na ugumu wa maisha.
Ikiwa wamekwama katika jambo lolote basi wataitafuta faraja au watajituliza kwa ulimwengu wao wa mawazo. Samaki ni wenye kukamilika na Mahaba mengi na wanapenda sana kujitumbukiza na kuzama kwenye dimbwi la mapenzi.

Kuwa katika mapenzi ni kitu wanachokipenda na kukifurahia sana. Ni waangalifu wazuri kwa wapenzi wao wana huruma nyingi
Wana hisia kali za kimapenzi na ni wepesi kuathirika
Mara nyingi huwa waoga wa vitu vya kimapenzi kwa sababu ya kuogopa kuvurugika kwa mipango yao ya baadaye.

Samaki huyachukulia mapenzi kama ua na wanawaona wapenzi wao kama binaadamu wasio wa kawaida.
Tatizo lao kubwa la kimapenzi ni kwamba wanawaamini sana wapenzi wao na wanakuwa na mawazo au firika za kimapenzi ambazo hazipo katika dunia hii.

Kwa ujumla wenye nyota hii wanapokuwa katika mapenzi wanakuwa wamejawa na shauku na mifano ya kuvutia na wanapenda wapenz wao waishi kiroho. Mategemeo yao yanakuwa makubwa na yasipotimia huwa wanavunjika moy
Kugundua muelekeo wa kimaisha kwa Samaki wakat mwingine huwa n matatizo

Tabia yao ya kushughulikia sana binaadamu wengine huwafanya wasiwe na muelekeo.
Wanatakiwa wafanye kazi ambazo zinazohusiana na kusaidia watu. Kipaji cha kutafsiri mambo, huwasaidia vile vile kufanya kazi za sanaa kama vile kupiga picha na kazi za muziki au maigizo.

Ili kupata mafanikio ya kinyota kwa wale wenye uwezo wanashauriwa aidha waishi au watembelee nchi au miji ifuatayo ambayo inatawaliwa na nyota yao.
Nchi hizo ni Tonga na Tanzania na miji ni Alexandria (Misri) na Seville (Ufaransa).

Loading suggestions...