Millambo®
Millambo®

@Millambo_

12 Tweets 43 reads Feb 08, 2023
Sheria 40 Mwanaume Anapaswa Kuziishi😎
Kama bado mvulana, achana nazo.
🧵Time 📢
RETWEET Wengi Wajifunze 🙏
▪️ Support mishe za wana wanaokupiga tafu ukiwa vibaya.
▪️Ogopa na kaa mbali na mwanamke wa rafiki yako.
▪️ Usiwahi kushikana na mtu mkono ukiwa umekaa chini.
▪️ Usimdharau usiyemjua.
▪️ Body language ya mtu itakwambia mengi usiyoyasikia kutoka kwake.
▪️ Vaa vizuri, pendeza bila kujali muktadha.
▪️ Jitahidi kusikiliza zaidi, kuliko kuongea.
▪️ Wekeza zaidi kwako kuliko unavyowekeza kwenye kazi yako.
▪️ Usimwonee wivu yule unaetamani kuwa kama yeye.
▪️ Usiwe mtu wa kuamua kwa hulka na hisia. Think.
▪️ Usile tonge la mwisho kama hukununua chakula.
▪️ Jitenge na porn. Zinakunajisi.
▪️ Usipende instant gratification (sex and material wealth).
▪️ Jitahihidi kufanya jambo ukiwa na hisia na mzuka wa juu sana. Utafanikiwa.
▪️Usiwahi kumpiga mwanamke. Think.
▪️Kukasirika ni kutumia vibaya energy yako.
▪️Kwa gharama yoyote epuka energy vampires.
▪️Ukilazimika kuwa kwenye mahusiano, tafuta mwanamke ambaye ni emotional independent.
▪️Usipige puli. Inakunajisi na kukufanya dhaifu.
▪️Nenda gym. Jenga mwili wako.
▪️Kula vizuri. Jenga mwili wako.
▪️Ukiwa mbele za watu, usitumie simu, wala usiiweke kabisa mezani.
▪️Sema unachomaanisha na ishi maneno yako.
▪️Usiwahi kupiga picha za kujinadi na pesa wala pombe.
▪️Kuwa mtu wa kutatua changamoto.
▪️Ukiwa umetoka na mtu. Jitahidi kula chakula cha chini zaidi ya mlipaji.
▪️Uliza zaidi, kuliko kujifanya unajua.
▪️Kwenye majadiliano, usikubali kuwa mtu wa kwanza kutoa ofa.
▪️Usiende usipoalikwa.
▪️Zoea kukataliwa na kukosolewa.
▪️Ukianza mahusiano mapya, kuwa real mpenzi wako akuzoe mapema.
▪️Kubali unapokosea.
▪️Usichukue sifa isiyokuwa yako.
▪️Sifia hadharani, kosoa faraghani.
▪️Kubali lawama. Sifia inapostahili.
▪️Usiwahi kuwa nice guy: kwenye maisha & mahusiano. Utatumika vibaya.
▪️Akikuzingua. Sepa. Usijieleze sana. Usibembeleze sana. Kakomae.
▪️Kwenye deals usikubali kuwa desperate. Utapigwa.
▪️Epuka ugomvi na mwanamke yeyote. Itakusaidia.
Tu sum up:
🟥Jijenge. Jipiganie. Jiongeze. Jiongoze. Jiokoe.
Kujifunza zaidi kwenye personal development, personal branding na Bio hacking:
FOLLOW ME: @Millambo_
RETWEET Wengi Wajifunze 🙏
youtu.be
▪️

Loading suggestions...