Inabidi ujirekebishe ili uendelee mbele zaidi, ni ishara kwamba umezungukwa na roho za kukurudisha nyuma kimaisha...lakini ukiota unafanya mtihani na ukafaulu kwa alama ya juu jua ni ishara ya kufanikiwa...wengine wanaota wanafanya pepa gumu na hawamalizi na wengine wakati
Wa mtihani wanakimbia...bro kwisha habari yako😀.
2. KUOTA UNALISHWA AU KULA CHAKULA NDOTONI.
Apo ulikua unalishwa kweli uchawi na utasumbuliwa na huo uchawi zaidi na zaidi unavyozidi kukaa tumboni..ndo ile utaumwa na hospital ugonjwa huoni.3

3. KUOTA UNAKIMBIZWA NA MAREHEMU.
Unakimbizwa na kifo..roho za umauti zinakukaribia, kemea tafuta msaada zaidi wa kiroho kabla hujafa.
4. KUOTA UMEACHWA NA GARI.
Ni umeachwa na mafanikio yako..roho ya kutokufanikiwa iko ndani yako na itakua ngumu kwako kufanikiwa

Had utakapopata msaada wa kiroho maana mafanikio yako yamewekwa mbali na wewe.
5. KUOTA UNAKULA CHAKULA KILICHOANGUKA CHINI.
Unaishi maisha usiyoyastahili...hiko unachokipata ni kidogo kati ya vingi ulivyotakiwa kuwa navyo.
6. UNAENDESHA BAISKELI.
Utafanikiwa kwa kutumia

Nguvu nyingi mno...maendeleo yako yatakua ya taratibu sana hadi kufika utakapo.
7. UNAKUNYWA MAJI MACHAFU.
Umechafuka kiroho..una nuksi mikosi na mabalaa fanya ujisafishe au utafute mtaalamu wako wa kiroho kulingana na imani yako akusaidie.
8. UNAKIMBIZWA NA NYOKA AU MBWA.
Roho za kichawi/ Kijini/ uadui wa kibinadamu unakufatilia.

9. MWANAUME KUOTA UNALAWITIWA.
Ishara ya kudhalilika na kufedheheka katika jamii/Familia yako
10. KUOTA UPO PEKUPEKU...hasara hiyo inakufuta.
5000 kutafsiriwa ndoto 😀😀😀😀

Hii inaweza kukusaidia katika hizo ndoto apo kiasi
Na hii pia
Loading suggestions...