8 Tweets 85 reads Feb 22, 2023
BAADHI YA NUKSI UNAZOWEZA PATA BILA KUROGWA NA MTU😂.
Haya naandika kwa ufatiliaji wangu tu na experience ya yale niliyopitia tu...sitokua na muda wa kukuaminisha, aya twende kazi.
1. KUFANYA MAPENZI NA MTU MCHAFU;
Kufanya mapenzi na mtu mwenye laana, jini mahaba au aina yeyote ya majini wabaya, mtu aliyerogwa au kufanya jambo lolote baya kiroho anaweza kukupa nuksi na mikosi.
Ukiwa na nuksi na mikosi mambo hayaendi; Pesa hazikai na kuzipata ni kwa mbinde na mapenzi yatakusumbua mno😂
2. KUKOJOA KWENYE MITI MIKUBWA NA MITARONI.
Miti mikubwa ina mfungamano mkubwa sana na mambo ya kiroho..zamani sehemu zenye miti mikubwa ilikua inatumika kwenye mambo ya jadi, wachawi hutumia miti mikubwa kama vituo vyao😂...sasa wewe kwenda kukojolea ni kama unaenda nyumbani
Kwa mtu na kufanya ambush wakati hawakuwa na shida na wewe...lazima uyavae.
Mitaroni ni sehemu chafu..kukojoa humo ni kama kujichafua tu na wewe...the same kwenye madampo.
3. KUOKOTA SARAFU.
Hizi coins hutumika sana kuondoa nuksi na mikosi kwa watu kisha huenda kutupwa
sehemu..wewe kuokota ni kama kuchukua mikosi ya mwenzako..the same na kuokota pete hizi na macheni ovyovyo hususani sehemu za njia panda.
4. DHULUMA(UBAYA)...Huleta Karma mbaya.
Hii nayo huleta mikosi na nuksi na mikosi.
5. NJIA PANDA.
6. KUSHARE VITU VYA KUOGEA
7. KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE.
Hujazaliwa upitie magumu kiasi kikubwa hivo, ukiona unapitia hayo sana jitafakari either una nuski na mikosi ambayo unaweza kuwa umepewa au umeipata mwenyewe bila kujua.
Hauwezi kukwepa nuksi hata kidogo hivo tenga utaratibu wa
wa kujisafisha kila mara kadhaa kadri uwezavyo ili kujiweka sawa kiroho.

Loading suggestions...