bila tatizo lolote la ajali au misukosuko hiyo huashiria kwamba utakua na maisha yaliyonyooka na yasiyo na mitihani mingi..Ikitokea ukapata ajali na changamoto kadhaa njiani huashiria utakua na changamoto nyingi sana kimaisha na kuhusu je utazipita au hutozipita hutegemeana na
na kama ulifika safari yako au haukufika huko ndotoni.
Unaweza usiote unaendesha tu the same ukiota wewe ni abiria na yakatokea hayo napo huwa hivohivo
Ila ikitokea umeachwa na gari katika safari yako kuna namna unafanya au kufanyiwa kukukwamishia mafanikio yako jiokooe kiroho

Ukiota Unaendesha Treka au Baiskeli hii mara nyingi haushiria safari yako ya kimaisha inaweza kuwa ya taratibu sana lakini ya uhakika..unatumia nguvu nyingi sana hadi kufanikiwa...jiokoe.
Ukiota Unasafiri na ndege ni ishara ya kuja kuwa mtu mkubwa na mwenye mafanikio.

Ukiota una safiri na uongo wa wachawi inaweza kuwa na maana unafandishwa uchawi.
Ukiota unasafiri kwa kupaa(Bila kukimbizwa na viumbe vyovyote) yani imetokea wewe kupaa kwako ni jambo tu la kawaida ndotoni...hii inaweza kuwa na maana nyingi nyingi kulingana na ulivyoota ila

Kubwa ni ishara ya kuja kuwa kiongozi au mtu mkubwa mbeleni.
Ndoto za safari ziko nyingi na zinaotwa kwa namna tofauti tofauti kila mtu kwa style yake na maana huja kulingana na ulivyoota.
Mimi nakufungulia tu ili ufuatilie zaidi siwezi jibu DM zote mana mpo wengi.

Loading suggestions...