2 Tweets 14 reads Feb 24, 2023
Ukitaka utoke nje ya boksi la utumwa inabidi ujue kuwa MUNGU ni NGUVU na sio mtu
NGUVU haina mtoto, haina mjumbe, haina taifa teule, haijawahi kuongea na mtu, haina upendeleo, haina kiti cha enzi, haisemi tuue kisa flani Kaffir..Ni nguvu inayojitawala katika mfumo wake maalumu.
Mtu ndo ana mtoto, ana kiti cha enzi, anakasirika(Sodoma na Gomora), mtu ndo ana wivu, anajutia, ana machawa(Manabii na mitume), mtu ndo huruma, mtu ndo sehemu teule nk.
Ukianza kumterm kama nguvu haya mambo mengine hutoyaona ya ajabu ajabu kiasi hiko.
Anza na hilo.

Loading suggestions...