20 Tweets 38 reads May 01, 2023
Ive been to three different prisons but ill have to say kodiag'a is the worst of all three.iko dominated na luos and luhyas and for some reason those tribes are the biggest sex offenders in the country,80% of the prisoners there have a sex related crime. So day one...
Tunaingizwa na mudi hopper,kwa gate first step tunaingia searching,tuna toa nguo yote tunachora saba,the DO incharge of searching is some guy called Afande charles,he has no shame mans anaspread ass na bare hands akichungulia ndani,he looks like he is enjoying every moment of it
Jela hakuna sheria,unacopperate willingly ama wanatumia force,(rungu)so ananifikia and that goes down as the worst experience of my life,i swore mwanaume akinishika haga iyo design tena nakufa na yeye.
After hapo ni adi Docs,then unakua alocated to your blocks depending on the crime,me and my guys tunaskumwa capital remand block (F block),iyo ndio block ya dangerous criminals wasee wa murders na robbery/2,mambo inaanzia kuchemka hapo tu kwa gate ya F block..
😂hapo tu kwa gate naskia jamaa zikisema na accent ya kijaka,"omera wewe ndio ulichukua ule mtoto wa jana wacha nichukue huyu wa leo"hapo nikajua i have to fight for my thuthaz bana,nikaingia nikiwa fully prepared bana,the first one to come at me would have to act as an example
Kuingia tu hivi "kinara" (the prisoner incharge of that block) anacome kutonyesha cells zile tutalala,he introduces himself as Ali,the guy is dark bana height ni kitu 6'5 (the typical luo guy) anakaa kuitwa Onyango Kajwang' sio Ali
First question anauliza ni "kati ya nyinyi weupe wawili" he points at me and some other guy "nani anataka kushare cell yangu",😂😂😂nikazua mbaya sana the guy alikua massive singestand a chance ya kumvaa incase angeamua kunimount bana.
😂😂the other guy anakubali coz he thinks with the leader ako safe,(alikua na kesi ya murder he had killed his uncle juu ya shamba)huyo alidinywa hio siku usiku.
😂bana nilikua napitishwa kwa cells wasee wanashout "leta hiyo maua hapa,"ok nakuanga tough but niliingiza baridi,Kinara akaamua coz niko na kichwa ngumu atanirusha cell ya the toughest gays,wale serial rapists,
.nilirushwa cell ya mans anaitwa Owira,rumour has it that the guy amekua hapo since 2008 ,for 14yrs mjamaa hajai ona kuma bana,ako na 6murder charges,nikiingizwa wasee walikua wanashangilia "Owira,ngodhe"(owira dinya hiyo jamaa)mans anasema "nasukuru Ali umeniletea jaber"
😂with such a cellmate i was destined to get it in the ass ngl.wale wamekua kodiaga mnajua huyo jamaa. ukiingia jela day one lazima mkutano ya kukuwelcome ifanywe,hapo ndio unachapia cellmates jina yako na uko jela why ,alafu unasomewa rules ya cup 90 na rules ya cell,
Owira shakes my hand,and goes "najua unaskia njaa chukua hii ugali yangu ukule,"i knew iyo ni bait but nikadishi sembe ,ndio nipate nguvu ya kupigana incase ajaribu mchezo😂mans kuona nimekubali sembe akatoa smile kubwa sana,nikajua hapo lazima nijibrace ama nipoteze virginity
😂after kukula sembe mans akaniita kando akaanza kunichapia kichini chini.aliniita "jalang'o"sijaai jua mbona, akanishow "jalang'o sasa kwasababu umekula ugali yangu unapangaje?"namshow "sina mpango"akadai umekula ugali yangu hata mimi nataka unapatie kitu ya kukula"😂😂😂
Haha apo ndio nikajua kumeharibika,cell ilikua imefungwa na nje hakuna vile ningetoka siaka,the rest of the cellmates wamechill tu ni kama wanangoja kuwatch nginyo pornhub,Kalenjin prisoner recieves BBC in the ass(turns out wote walikua victims wa Owira's anal escapades)
mimi nilikua nishaamua siezi mangwa haga nikiwa alive,lazima aniue kwanza,nilikua nishakunja ngumi,any attempt ya contact alikua akule mangumi kama thao. mans ni kama alinotice it wont be easy with me akaamua kuback down akanishow "wacha giza ikuje"
Giza kuingia mans anadai "kuja ulale hapa kando yangu jalang'o unajua hapa watu sio watu wazuri wanakutamani"nikamchapia "sikuji" at this point nlikua nimekubali kugenya juu enyewe ata kesi haikua inanifavour.😂jamaa ilikula nare kama shetani,"kuja ama nikuje"
Roho ilikua inapiga mbaya sana.jamaa akaamka akakuja base nlikua nimejiseti😂akanishika mapaja buana,sijai feel disgusted iyo design,akanishow "ulikua unafikiria utakula sembe yangu bure" haha nilitoa nduru mbaya😂
Namshow "kuja basi nikupatie ukimwi"hahaha maafande kuskia iyo nduru ndio walikuja kuniokolea bana,wakapeleka owira segregation,mimi ikabidi nikwame na hiyo story ya niko na ukedi just incase msee,mwingine apate ideas ya kunimanga,ilikua inabidi nichukue adi ARVs bana😂
Ivo ndio nilimada kodiaga 4months with my ass still intact bana.though wasee huko bado hudhani niko na ukedi.exeperience ya kodiaga ilifanya nikaamua kureform kabisa,kureform ndio form✊

Loading suggestions...