Hii ndo VEGETABLE CHOPPER.
Mashine kali sana ya jikoni.
Ina slicers na graters, 12.
Yaani unaweza kukata mboga mboga, matunda, karoti, chipsi n.k kwa maumbo 8.
Hii ni 8 in 1.
Visu ni vikali hujapata kuona...
Ina balaa sana hii kitu.

Chipsi unakata fasta bila kuhaha na kisu,
Na uzuri wake unakata kwenye maumbo tofauti tofauti kulingana na mahitaji yako,
Ukitaka kutenga yai,yaani egg white na yolk, hii mshine ndo kazi yake,
kuna kifaa maalumu cha kutenga egg white na yolk.
Rahisi kabisa.

Loading suggestions...