Cypher Smith Roweβ˜… πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
Cypher Smith Roweβ˜… πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

@CypherSmitRowe

13 Tweets 26 reads Apr 08, 2023
𝐓𝐇𝐄 𝐆𝐑𝐄𝐀𝐓 π–π‡πŽπ‘π„ πŽπ… ππ€ππ˜π‹πŽπ/ πŠπ€π‡π€ππ€ πŒπŠπ”π” 𝐖𝐀 ππ€ππ˜π‹πŽπ
Khabari za Siku Nyingi najua wengi Mmemiss threads zangu, Leo Nakuja na Huyu Malaya wa Babylon.
Wengi wetu tumekuwa tukiiskia Babylon na sio mgeni kwa Maana Babylon iliiteka Israel Mwaka
586BC. Nevertheless ukaanguka kwa Utawala wa Medo-Persian na ukafa usisikike tena! Kwanini Babylon ya Agano la kale inaonekana kwenye Ufunuo!? Na je ni Nani huyo β€œKahaba Mkuu wa Babylon”
Kwavile Ufunuo unaonesha sana ishara ndani yake. Hivyo Kahaba sio mtu bali ni Kitu/Jambo.
𝐍𝐈𝐍𝐈 πŒπ€π€ππ€ π˜π€ πŠπ€π‡π€ππ€ 𝐖𝐀 ππ€ππ˜π‹πŽπ-πŒπ€πŒπ€ 𝐖𝐀 πŒπ€π‹π€π˜π€
Wanatheolojia wote wanatofautiana kuhusu huyu kahaba lakini wanakubaliana kwenye fikra Moja kwamba Babylon ya kale kwa sasa inawakilishwa na Paganism/Upagani/Hedonism au Roma/Modern World.
Ili kufahamu vyema hiki Kiumbe tujue kwanza Characteristics zake.
π“π€ππˆπ€ π™π€πŠπ„- Kumchambua huyu kahaba itabidi tuzitazame Aya kwa Aya kwenye Ufunuo 17.
Ufunuo17:1 Njoo, nami nitakuonesha adhabu itakayotolewa kwa kahaba maarufu. Ndiye yule aketiye juu ya maji mengi”
Hii inamaanisha huyu kahaba atafika mbali haishii tu kwa Babylon au Utawala mmoja tu Bali inawakilisha Maeneo na tamaduni nyingine nyingi.
Ufu 17:2 Watawala wa dunia walizini pamoja naye. Watu wa dunia walilewa kutokana na mvinyo wa dhambi yake ya uzinzi.”
Hii inaonesha viongozi wengi wanafuata ideologies za Babylon wamezikatia Tamaa njia za weka na kufata matendo ya kishetani &Dhambi ushahidi Upo Agano la kale Kiongozi akianguka na Taifa lote linaangamia.
Ufu17:3 Kisha malaika akanichukua mbali kwa Roho Mtakatifu mpaka jangwani. Huko nikamwona mwanamke amekaa juu ya mnyama mwekundu. Mnyama alikuwa ameandikwa majina ya kumkufuru Mungu katika mwili wake wote. Alikuwa na vichwa saba na pembe kumi.
Kwenye Maono ya Daniel tumeona jinsi gani yule Beast yeye na Kahaba wanavyocheza nafasi kubwa katika kuipeleka Dunia nyakati za Mwisho.
Ufu17:4 Mwanamke aliyekuwa juu yake alikuwa amevaa nguo za zambarau na nyekundu. Alikuwa anang'aa kutokana na dhahabu, vito na lulu alizokuwa
Amekaa Mkononi mwake alikuwa ameshika kikombe cha dhahabu. Kikombe hiki kilijaa maovu na machukizo ya dhambi yake ya uzinzi.
Zambarau na elements zingine zinaonesha Ufalme,Nguvu na Utajiri:Malaya huyu Ana ushawishi Mkubwa kwenye tamaduni nyingi na watu wengi.
Ufu17:5 Alikuwa na jina kwenye kipaji cha uso wake. Jina hili lina maana iliyofichwa. Hiki ndicho kilichoandikwa: ππ€ππ„π‹πˆ πŒπŠπ”π”,πŒπ€πŒπ€ 𝐖𝐀 πŒπ€πŠπ€π‡π€ππ€ 𝐍𝐀 πŒπ€π‚π‡π”πŠπˆπ™πŽ π˜π€ πƒπ”ππˆπ€
Pia ameshika kikombe ambacho kina dhambi,Uasherati,Hasira,Kutokujali na
Kikombe hiko hupelekea yeye kutoa hukumu/Maamuzi.
Ufu17:6 β€œNikatambua kuwa mwanamke alikuwa amelewa. Alikuwa amelewa kwa damu ya watakatifu wa Mungu. Alikuwa amelewa kwa damu ya wale walioshuhudia imani yao katika Yesu Kristo.”
Atahukumu waumini,kila kitu anachokisimamia kina..
Kwenda kinyume na Imani. Atasalimu Amri lakini Utawala wake utaishi milele.
Hii ni symbolism imetumika kuelezea Kuangamia kwa Dunia. Ukitaka kuelewa zaidi na nyongeza ya nilichoandika malizia kusoma Ufunuo 18 yote.!
Kwa Maarifa kama Haya na zaidi usisite kunifollow, na share wengine wapate Maarifa zaidi.
@CypherSmitRowe

Loading suggestions...