Daktari Wa Jamii💊💉
Daktari Wa Jamii💊💉

@FJinyami

6 Tweets 11 reads May 17, 2023
TAHADHARI KWA WANAUME ⚠️
Uzi🧵
Retweet 🔁tunusuru maelfu ya wanaume😭😭
Inasikitisha sana👇
Hii ni Sildenafil 100mg ambayo hutumika kutibu tatizo la kutosimamisha uume(ErectileDysfunction).
Nichukue nafasi hii kueleza kuwa dawa hii ambayo vijana wanatumia vibaya kiuhalisia ilitengenezwa kwa ajili ya kutibu shinikizo la damu(high blood pressure)kwenye mishipa ya damu inayosambaza kwenye mapafu kabla matumizi yake kwa ajili ya nguvu za kiume hayajagunduliwa.
Dawa hii imewekwa kwa ajili ya watu wazee, wale ambao wanakabiliwa na tatizo halisi la kutosimamisha uume, sio wewe kijana ambaye unataka kuwakomoa wanawake sehemu fulani.
Ikiwa utaendelea kutumia dawa hii vibaya kama kijana, tambua kuwa wakati utafika ambapo bila dawa hiyo, huenda usiweze kusimamisha imara uume wako.
Mwisho
Nahitaji kusaidia watu 10 wenye tatizo la kutosimamisha vizuri, nitawasimamia kuhakikisha wanaimarika.
Njoo DM eleza shida yako kisha andika namba yako ya simu nitakupigia.
NB:
Hakikisha umenifollow kwanza @FJinyami

Loading suggestions...