π‘ππππππ‘πππ π π§π¨π ππͺπ πͺπ π©πππͺππ‘ππ’ππ€£
Story Threads π§΅
(1/2)
Unajua vijana bana tumejawa na tamaa sana. Tunapenda kutafuta urahisi wa maisha ili mradi tu! kupata unafuu kwa kutafuta miserereko ambayo mwisho wa siku tunaangukia pabaya na..

..Kujikuta tumedandia mitumbwi ya vibwengo.
Hayo ndo yalinikuta mimi mkoani Arusha.
Nilipanga kwenye nyumba ya mwanamke mmoja aitwae Flora.
Ambae ki umri alikua amenizidi kwa maana alikua kama dada yangu.
Japokua alikua na umri mkubwa lakini alionekana kijana kutokana na nguo..

..Alizokua akivaa,shape nzuri alonayo na sura mashaallah alobarikiwaπ₯°.
Kiufupi sister Flora alikua mzuri sanaa.
Kwenye nyumba hiyo nilopanga tulikua tukiishi wapangaji wawili pamoja na mwenye nyumba ambae ndo sister Flora.
Huyo mpangaji mwingine alikua akiitwa John.

*John alikua akifanya kazi ya ulinzi na wala hakua Ameoa kama ilivyo kwa upande wangu.
John yeye Alikua ni mlinzi wa sokoni hivyo alikua akiondoka nyumbani saa 1 usiku na kurudi saa 4 asubuhi kila siku.
*Kwa upande wangu mimi kutokana na kua nimejiajiri mwenyewe basi nilikua..

..Nikitoka nyumbani muda ninaotaka na haswa nilipendelea kuondoka saa 2 asubuhi na kurudi kwangu ilikua saa 2 usiku.
*Sister Flora yeye alikua akimiliki Glossary hivyo alikua akiondoka mchana na kurudi saa 7-8 usiku.
Uzuri ni kwamba alikua na funguo zote za mageti.

Kutokana na sisi sote kua watu wa mishe mishe basi tulikubaliana mimi na john tuwe tunampa dada flora hela ya usafi kwakua alikua akiondoka mchana na badala yakufanya sisi wenyewe afanye yeye.
Dada Flora hakua na kipingamizi alikubaliana nasi kua atakua akitusaidia kufanya usafi

Na Shida ndo ilipoanzia.
Ilikua kila asubuhi nikijianda kwaajili ya kwenda kazini basi nilikua napishana na body la dada Flora kwenye kordo ya nyumba ile akipiga deki akiwa na kimini.
Asikuambie mtu dada Flora alikua na ubodi wa haja yani "Juu kama nyigu chini self container"π₯°

Na kila nilipokua nikimsalimu dada Flora kwa shikamo alikua akiniambia haina haja ya kusema shikamo niwe namsalimia tu "Mambo" nakadhalika kama navyowasalimu vijana wenzangu.
Kwa upande wangu sikua na neno nilikubali kile alichoniambia dada Flora...

Kama unavyojua mwenye Nyumba hapingwi π basi nilikua nikimsalimu kama kijana mwenzangu lakini neno dada sikuliacha kutaja kwenye salam zangu.
Ila shida kubwa ilibaki kwenye ule mtego ninaokutana nao asubuhi wa dada Flora.
Yan mama mwenye nyumba alikua akiuchezesha unyumba...

..Mbele yangu kila asubuhi.
Kiukweli Hali ile ya dada Flora kupiga deki kwa mitego asubuhi ilikua ikinitesa sana.
Tena dada Flora aliponiona tu nikitoka kwenye chumba changu ndo alizidi kuinamaπ.
Hata nilipojaribu kumsalimia alikua akijibu salamu huku ameinama..

Ile hali ilinifanya niwe nadaamka asubuhi kuelekea kazini ili kuepuka balaa lile maana najijua mwenyeweπ.
*Siku moja mida ya 12 jioni.
John ambae ni jirani yangu alinipigia simu na kuniambia dada Flora anaumwa alafu yeye muda wa kwenda kazini ulishakaribia hivyo asingeweza

Kumpeleka hospital.
Si unajua tena kazi za kuajiria noma.
Mimi sikua na noma kwakua dada Flora alikua mtu fair kwetu.
Japokua alikua na uzungu mwingi..mimi nilichukulia kama madhaifu yake tu!.
Nilichomoka kazini chapu na kuwahi nyumbani ili kumpeleka hospitali..

*Nilipo fika nyumbani sikuingia hata chumbani kwangu zaid ya kunyooka kwenye chumba cha dada Flora ambacho mlango uliegeshwa(haukufungwa).
Nilipogonga mlango iliskika sauti ya kiume ikinikaribisha.
kuingia kumbe alikua John,
Aliponiona alishukuru maana alikua tayari kashajianda..

..Kwa ajili ya kwenda Kazini.
Nilimruhusu John awahi tu kazini na nitashughulikia kila kitu kuanzia pale.
John alisema sawa na kunisistizia kumfahamisha endapo kitatokea chochote kwa simu.
Nilimjibu sawa huku nikimtazama dada Flora ambae amejilaza kitandani na kujifunika..

John aliondoka na kutuacha mimi na Dada Flora tu! chumbani Mule.
Nilijaribu kumgusa dada Flora shingoni ili kuangalia joto la mwili.
Lakini cha ajabu hakua na joto.
Nilijaribu kumuita "Dada..Dada Flora" lakini alikua akigumia tu huku akishika tumbo lake kuashiria ndo anachoumwa

Niliamka pale na kuingia chumbani kwangu ili kuchukua sweta kisha nirudi sasa nimpeleke hospitali.
Lakini nilipofungua mlango na kuingia chumba cha dada Flora nilishangaa kukiona ni tupu kwa maana Dada Flora hakuepo kitandani.
"Kheeeh! sasa kaenda wapi mara hii" niliongea...

Lakini Ghafla nikaskia "mbaah!" Mlango umebamizwaπ.
Kugeuka alikua ni dada Flora ameufunga Mlango huku akinitazama..kumbe alijificha nyuma ya Mlangoπ€£.
"Dada Flora kuna Tatizo" Niliuliza huku nikimtazama dada Flora ambae dakika chache tu zilizopita alikua akigumia kitandani.

"Ndio Mu! tatizo lipo" dada Flora alijibu huku akizungusha fungua ya mlango kwenye kitasa ili kuufungaπ.
"Tatizo gani dada?" Niliuliza huku nikiwa nimetoa macho.
"Mu! Kwanini unautesa moyo wangu" Dada Flora aliniuliza na kuniacha nikitoa macho kutoelewa anamaanisha nini...

"Nauteseje Moyo wako dada Flora" niliuliza.
"Mu sawaa kusoma hujui hata picha huoni" Alisema dada Flora.
"Unamaanisha nini Dada" nilimuuliza.
"Mu inamaana ulikua huoni ishara zangu kwako..nimejaribu kukutega kwa kila namna lakini wapi ulishia kunitoroka kila Asubuhi" Alisema

Dada Flora.
Hapo ndo nikajiongeza sasa huenda hata hili homa alikua akiigiza ili anipate Tu! Kwenye 18 zakeπ.
Lakini swala la mimi ku date na dada Flora ambae nimekua nikimheshimu halikua likiingia akilini mwangu kabisa..niliona kama namkosea heshima ingawa yeye aliona sawa..

Na hakuishia tu kusimama mlangoni alianza kunifata taratibu kwa mwendo wa madaha pale nilipo.
Mwili wangu ulikua ukiona sawa lakini akili ilikua ikikataa.
Yani nilikua nameza mate huku narudi nyuma.π
"Dada Flora skiliza..me nimekuelewa lakini sipo tayari kwa sasa" Nilisema...

Huku nikimkwepa dada Flora kwenye kile chumba chake kikubwa.
Lakini yeye nae alikua akinifata taratibu huku akipunguza uzito(akivua nguo).
"Mu! haupo haupo Tayari kivipi..haya mambo hayaitaji ule kozi kwanza" alisema dada Flora.
Hakuishia hapo akaniambia siku hiyo amejipanga..

Yani alisistiza nikizingua Tu! Anapiga kelele kua nilihitaji kumbakaπ€£. Na istoshe nipo tayari kwenye chumba chake.
Kitu kingine chaajabu aliniambi niingie whatsapp kuna ujumbe wangu.
Nilipoingia nilikutana na video ilotumwa na namba nisioifahamu.
Nilipofungua video ile..

Ilikua ikinionyesha nikiingia direct kwenye chumba cha dada Flora nilipo toka Job alafu ikaisha..haikuonyesha hata John alipotoka wala haikuonyesha nilipotoka na kuingia chumbani kwangu.
Dahπ€£ sijui walini record saa ngapi..hakika Dada Flora alijipangaππ.

Hii video ilizidi kunipagawishaπ€¦πΎ na za chini chini kabisa niliskia dada Flora ameolewa na mwanajeshi wa mpakaniπ.
Niseme TuπβπΏ
Kujua yalojiri Tukutane FINAL EP.
USISAHAU
Kumfollow @Bayona_stories
Kunifollow @Rm_yatosha
Ku turn On #Notification
#ITAENDELEA___
Niseme TuπβπΏ
Kujua yalojiri Tukutane FINAL EP.
USISAHAU
Kumfollow @Bayona_stories
Kunifollow @Rm_yatosha
Ku turn On #Notification
#ITAENDELEA___
Loading suggestions...