6 Tweets 15 reads May 26, 2023
Kanuni ya mvuto(Law of Attraction) ipo kwenye matamanio na mawazo yako..Najua bado hujaelewa, iko hivi;
Kila kitu kipo katika mfumo wa nishati(Energy) na kinasafiri katika katika frequency fulani..bado hujaelewa?
Ani ni hivi..Kila kitu ni energy, yeah kila kitu ni energy.
Pale utakapoanza kuweka matamanio au mawazo kwenye jambo fulani lolote lile 'either' baya au zuri moja kwa moja unakua umeshaanza kulivuta hilo jambo.
Unapoamini kesho utapata hela moja kwa moja unaanza kuivuta hiyo hela kuja kwako au unapoamini wewe
huwezi pata kazi kirahisi ndivyo itakavyoenda kuwa hivo kwa sehemu kubwa.
Unaweza usielewe lakini ni unavuta kile unachokiishi...Unajua kwanini wanasemaga mwenye nacho huongezewa? Ni kwasababu mfumo wa maisha wanao'uishi wenye nacho unawarahishia zaidi kuvuta vitu vizuri kwa
sababu ndio vitu wanavyo'viishi.
Anza kujiwazia mazuri na kujienenea pia.
Anza kuamini wewe ni mtu mzuri na unastahili mazuri.
Inaweza isiwe rahisi kwakua hujazoea ila ukizoea utakua na uwezo mkubwa wa kuvuta vitu vingi vizuri unavyotamani kuwa navyo kwenye maisha yako.
52074 2080...chora kwenye kiganja au katikati ya maungio ya kiganja na mkono wowote ukivisualize kuwa umepata hela ndani ya muda mfupi ujao au chora kwenye karatasi kisha andika nimeingiza hela nyingi ndani ya masaa 24 kisha endelea na misha zakoπŸ˜‚.
Au itamke hiyo namba mara 7
au fanya vyote.
Ukimaliza endelea na mishe zako za siku zoteπŸ˜‚

Loading suggestions...