Oscar Oscar
Oscar Oscar

@okaoscar25

3 Tweets 4 reads May 31, 2023
Je wajua..?
Kutana na Robert wadlow mtu mrefu zaidi duniani kuwah kutokea..
Je, umewahi kumshudia mtu mrefu katika maisha yako? Mhh sidhani.
Kutana na Robert Wadlow, Raia wa Marekani aliyevunja rekodi ya dunia ya Guinness na kuwa binadamu mrefu zaidi kuwahi kutokea duniani.
Robert alivunja rekodi hiyo kwa kufikia urefu wa futi 8 na inchi 11 na kuvunja rekodi za watangulizi wake wote katika orodha ya kitabu cha guinnes rekodi na rekodi hiyo haikuvunjwa hadi leo hii.
Robert aliogopwa katika makuzi yake na hata shuleni alichongewa kiti na meza yake
maalumu kutokana na u=refu wake kwani mapema utotoni akiwa na miaka 8, pekee alishafikia urefu wa futi 5.
Robert alifariki mnamo Julai 15, 1940 akiwa na umri wa miaka 22, pekee. Je, Unadhani Robert angefikisha miaka 30 angekua na urefu gani?

Loading suggestions...